Queen Darleen buana..

Wajua ukinishika tetemesha roho unairusha pagawisha[emoji443] [emoji444]
 
hivi unasema "unaniadaa" au "unaniandaa"?
 
Unataka The bold aseme nini?
we endelea kumuimbia huyo shemeji
 
Wajua ukinishika tetemesha roho unairusha pagawisha[emoji443] [emoji444]
"...wako walo washamba,wako walo wajanja,wainaoingia klabu kugombanisha wapenzi,
ukipata kipya,cha zamani usasisahau,.."
naupenda huu wimbo sana!
 
Af wewe!!!.....na avatar ya bebi wako unatuchanganya!!!
 
Huyu bidada Kiba alimbeba sana katika unanihanda, baada ya hapo akaachiwa atembee mwenyewe lakini hakuweza. Tusubiri tuone kama braza ake ataweza kumuinua
 
Huyu bidada Kiba alimbeba sana katika unanihanda, baada ya hapo akaachiwa atembee mwenyewe lakini hakuweza. Tusubiri tuone kama braza ake ataweza kumuinua
Queen darlin na kiba nani mkongwe kwenye game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…