Quartz Africa: Tanzania human rights abuses have cost it $310 million in aid in two days

Tang Zhou

JF-Expert Member
Mar 14, 2018
1,208
2,000
Kama kawaida tunaendelea kubamba kimataifa thanks to the chosen one, Magu & Co.

Halaf hivi kwanini wazungu wameamua kutumia fimbo ya misaada na mikopo kumwadhibu Magu? Do they honestly believe it will hurt? Probably so - hili linchi ni likubwa mno, naamini wanajua wakimbana mshikaji bila mikopo na misaada kwa miaka miwili kufikia 2020 atashindwa hata kulipa mishahara ya wanajeshi anaoelekea kuwapenda sana wakati huu; itabidi achague aendelee na ujenzi wa SGR au alipe kwanza wanajeshi na wafanyakazi wengine wa umma mishahara yao!

Navilaumu sana vizee flan vya CCM vikiongozwa na Mkapa - hivi vizee vingi vifupi vifupi ndo vilimpa mwenzao akili hii mbovu ya kuongoza nchi na sasa vimemwacha anapoendelea kuwa "a laughing stock and skunk of the world"

Excerpt:

"Since coming to power in 2015, president John Magufuli’s government has stepped up the crackdown on everything from mineral processing to free speech and the registration of foreign ships—earning him the title “The Bulldozer.” Even though he was elected on an anti-corruption platform, his administration has closed newspapers and radio stations, arrested journalists and free press advocates, and introduced an over $900 charge to license blogging".

Read more:

Tanzania’s human rights abuses have cost it $310 million in aid in two days
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom