quality unazo admire kwa wengine............



lizzy hapo juu
ulimaanisha mitizamo chanya sio?
positive outlook???????
 
Ungekua unaweza usingesema unatamani kua kama kijana anayeweza...kubali tu kwamba sketi ikijileta kwako hata kama ni bibi kizee huwezi kuitolea nje!

umeona uchokoz wakoee?
 
na-admire wanaume romantic..siju jitu cold mpaka noma huoni raha ya mapenzi, utani na purukushani za hapa na pale.

pia mwepesi wa kumaliza viporo vya ugomvi mkikosana, siyo ukikosea kidogo anabeba bango mwezi au miezi..

hapo umenena BJ, sio kakomaa ka sanamu.....

mi napenda sana mwanaume anayejua kudekezaaaa, anajali lakini zaidi aijue shughuli sawa sawa
mengine yatafuata badae
 
Natamani ningekuwa na moyo wa chuma wa kuweza kustahimili mambo magumu na mazito.
Nawaadmire wote wenye mioyo hiyo.
 
Nawa admire watu wanaojua kuogelea. Mimi sijui. Natamani sana kuelea kwenye maji, kupiga mbizi, n.k.
 
Honestly nawa-admire sana watu ambao sio wepesi wa kukwazika coz mi ukinikwaza tu kidogo, amani ya roho inafutika cjui nikoje!!
 
Nawaadmire wanawake wanaocheza mieleka mi sijui.
 
wengi hawajaelewa naona hata majibu wanajibu tofauti. Kama mitihani wote wana supp.
YAANI!
Nimesoma michango nikajihisi labda mimi ndio sijamwelewa Boss! Kumbe ungekuwa ni mtihani karibia darasa lote lingepata ......!!!
Nilivyomwelewa Boss ni kama vile anataka mtu ajitizame alivyo , strengths na weakness na mapungufu yake.Kisha aangalie ni kipi anakitamani kwa wengine.

Ngoja nijichunguze mapungufu yangu kwanza kisha nisome ya wengine niyaoanishe na vile ningetaka kuwa.

BTW, Boss, hii mada ni nzuri sana,
Hongera!!
 
Dah BJ hii sasa ni komesha lol...
labda utusaidie wengine, hivi mwanaume romantic huwa yukoje?

ana macho makubwa ivi
anatembea km jogoo!!!
jchek..cz sifa zote unazo...wewe utakuja pande i leo?ole wako useme nooo!!!!!!
 


kusema ukweli mimi huwa nakosa Confidence kwenye baadhi ya mambo
na hata sijui itanitoka vipi, huwa najitahid kuishinda bado inakuwa ngumu

yaani huwa namuadmire mwanamke mwenye Confidence katika mambo>>>
 
Ungekua unaweza usingesema unatamani kua kama kijana anayeweza...kubali tu kwamba sketi ikijileta kwako hata kama ni bibi kizee huwezi kuitolea nje!

Lizzy, kwa mimi kuitolea nje sketi iliyojileta yenyewe hasa kama inakidhi viwango vya uumbaji uliotukuta, ni sawa na kuidhulumu nafsi yangu. Kula ni kula tu, vibaya kukomba mboga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…