1. Wapi kasema wanavaa wanaumeKwahiyo wanaume wanavaa hayo madude kweli dar kumeharibika
K/koo mtaa wa narung'ombe upo nchi nzima.1. Wapi kasema wanavaa wanaume
2. Kwanini unaita madude wakti mleta Uzi amtaja kuwa inaitwa Abayah
3. Nguo hizi zipo nchi nzima, kwanini waitaja Dar pekeyake.
Kwanini utaje na mchepuko, hujui ni dhambi hiyoJe wewe ni mwanadada unayependa kujisitiri kisasa?
Kwako mwanaume...mwenye wake/mke na hata michepuko [emoji4][emoji4]
Haya hapa mabaibui ya kisasa...
Ni mwendo wa kujisitiri kwa mwendo kasi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji108][emoji108]
Stara sio hadi Ramadan...
Onekana mrembo ndani ya abaya hizi za kisasa...
View attachment 375035View attachment 375036View attachment 375037View attachment 375038View attachment 375039View attachment 375041
Tunapatikana K/Koo mtaa wa Narung'ombe na Sikukuu.
Cheki nasi kupitia namba hizi 0719 714852
Bei zetu ni rahisi...everybody can afford
Only 30k (Elfu thelathini tu)!
Wapi FaizaFoxy geniveros mwasu atoto witness j Charity Diva Beyonce
Madame S farkhina
Kaka zangu Slim5 FisadiKuu mnyepe mrangi Mbulu hizi Abaya sio za kukoswa na mawifi zangu.
Karibuni sana
BTW....I wish babe aone hapa aninunulie hilo la pink jamaniiiii
Nimelipenda sana.[emoji39][emoji41]
Una risitiWoooooow!Really?
Nimelipenda hilo la pink mkuu. [emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zipo za kumwaga mkuu,hata ukinunua ma Abayah 100 [emoji108]
Mhhhhhh shoga nawe mpana?
Subiri nakujibu soon dear.
Usijali ukht...atakupigia mwenyewe umpe detailsNi utani tu mkuu...usichukulie serious sana.
Asante...kheri InshaAllah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]π teena. Maana isije kuwa fundi Juma mambo ya polyster na jua la Dar si tutaungua π.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna mambo ya fundi Juma hapa sweetheart.
Well...
Made in China-High Quality [emoji108]
Yapo ya aina mbili
1.Sukari
2.Spandex mix with cotton (mpira)
Karibu.