Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Usijaribu kugusa, lazima unasee na kujinasua lazima uite winchi inayonyanyua vyuma vya reli ya SGR eehehehehehe
Usiniulize zaidi nimetoa angalizo tuu...
Mahaba Matata.
Hahhah na ukiweza kujinasua kwa njia za kibinadamu bora uokoke kbs😁😁!hawafai!