Quadcopter Drone Imeonekana Arusha kwenye mkutano wa UKAWA

Xperience

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
278
Reaction score
51
Hii kitu imenipa raha leo. Nimeona raha mpaka basi. Yaani ile ni copter hasa. Nilisikia mshereheshaji akisema wananchi msiogope hicho ni kifaa chetu kinalinda usalama. Aisee jamaa wamejipanga.
 
Weka picha mkuu...
 
Hizo drone ni kwa ajili ya kupiga picha kwa upande wa juu(aerial view)
 
Hii kitu imenipa raha leo. Nimeona raha mpaka basi. Yaani ile ni copter hasa. Nilisikia mshereheshaji akisema wananchi msiogope hicho ni kifaa chetu kinalinda usalama. Aisee jamaa wamejipanga.
Drone inalinda usalama au inapiga picha?
 
Shikamoo ukawa,
change we need
yes we can
m4c
m4u
friends of ukawa

magufuli toroka uje nawewe pia utasamehewa.

Oil chafu ndio dawa ya mchwa wanaotafuna nchi yetu.
 
Hizo ninazo 10 Mtoa mada kama unajishugulisha na mambo ya habari nitakupa moja bure,Ili pia kukutoa ushamba na ikusaidie
 
Back
Top Bottom