QSAT DECODER

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
783
Kuna mtu bado anatumia hiki kingamuzi...niliwahi kukitumia nikawa naangalia mipira yote kwa kulipa kila mwez 40000 ,lakini nilikiacha nikaaenda masomoni nimerud hakionyeshe sielewi tatizo ni nini kilikuwa poa sana.
DSTV bei sana sisi wenye vipato vya kawaida hatumudu kulipia hizo laki

Msaada
 
Ilikua mwaka gani huo ulipokiacha Mkuu
 
Shs.40,000/= kwa mwezi eti sisi kwenye kipato cha chini! Huu ni utani au kejeri? Sasa sisi wa Mwendokasi Express mlo saa tisa mchana mpaka kesho tisa mchana, chai saa tano asubuhi itusukume tutasemaje?
 
Unazingua,hizo pasi ndefu ni maamuzi yako. Hela ya bando umetoa wapi? [emoji4][emoji4][emoji4]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…