Nawasalimu woooote humu....
Nimarayangu ya kwanza kuandika Uzi humu naombeni mnivumilie km ntaenda tofauti. Kilicho nileta humu ni kuomba mbinu na msaada wowote wa kulipa madeni niliyo kopeshwa kama ifuatavyo na watu 10 tofauti.
1/600000,laki sita
2/250000,lak2na nusu
3/300000,laki3
4/220000,lak2 na ishirin
5/100000,laki1
6/69000,elfstin na tisa
7/50000,efl50
8/40000,elf40
9/35000,elf35
10/26,000,elf26..
Jumla ni km mil2 na hivi
Mimi ni kijana wa 27age nimemaliza chuo 2015 nw nipo mtaan najishuhulisha na biashara huku nikisubir ajira kwa kada ya afya tuliambiwa mpaka mwez wa Saba..
Mdai no:1 nikuwa nikifanya biashara nikiwa chuo toka first year na niliweza mpaka kujilipia ada ktk hzo biashara nilkuwa nikichukua mzgo duka moja hivo na kuaminika sana hata nikiwa sina pesa walikuwa wakinipa mzgo hata wa mil1 na kuzirejesha nilikuza mtaji hapo sasa ilifika kipind nikalipa ada pesa nilizopata nikiamin biashara itaendelea kuwa nzur hapo ikabuma nikiwa sec year na nikawa nimebakiza hiyo pesa sikuilipa
2/mdai no:2 huyu ni mwanachuo nilimwomba anikopeshe kwa riba akanipa lak4 kila mwez nikawa nampa 50elf na pesa yake ibak palepale tukaenea km miez3 hiv likizo ikafika ya kufunga chuo nikamwambia tutaendelea October tukifungua mimi nikawa naingia mwaka wa mwsho chuo nikasema mwaka huu sikai hostel ntalipa ada tu no accommodation wala msos wa hostel ili nikapange na ada ntalipa nusu likizo kuna sehem nikapata tempo hosp kupiga kaz nikapata pesa ya kupanga na kununua baadh ya vitu vya ndan likizo ikaisha tunarud chuo nikawa nimetumia pesa karibu yote kulipa chumba na vitu vya ndan nikabak na lak moja tu..
Jamaa moja chuo akawa anamzgo wake wa viatu wenye thaman km lak5 hiv kwakuwa mimi soko la chuo nililielewa nikamwambia anipe nmpigie kaz nikapiga kaz na kuuza bei juu kidogo na alivyo panga ili nipate faida biashara ikaenda poa nikalipa ada yote mwaka wa mwsho na nikampa pesa yake ikabaki laki1 ndio hiyo no:5
3/mdai no:3 huyu nihapa nilipopanga mdada mmoja hivi ikatokea amenipenda tukaanzsha uhusiano hapohapo nikamwomba lak3 akanipa nilkuwa sina muda sana na mapenz kwakuwa mwaka wa mwsho chuo biashara na mambo ya research na maden nikawa nampotezea sana akasema tuachane nikasema poa kwakuwa na mimi nilkuwa na demu wangu chuo nikaona poa isiwe tabu dada mwenyewe anamtoto nikaona afazal insue anadai nimrudshie pesa zake nikasema poa ntakupa
4/wadai wa elf50,35, na 26 hao nilikopa kwa wakat tofaut kuna kipind niliumwa ikabad nikope tu sikuwa na jins kwakuwa mimi ndio kila kitu.
7/mdai no: naye ni mdada wa duka la jumla alinizoea na kuniamin kwakuwa nilikuwa mteja wake sana nikakopa mzgo wa lak2 nikalipa ikabak elf69
Nikafanya mtihan wangu wa mwsho August2015 nakuendelea na life kitaan huku nikiamin mpaka mwez wa January ntakuwa nimeajiriwa na kuchomoa naden jamaa yangu wa chuo yy bd yupo chuo nillipa kidogo ikabak lak2 na nusu
No:6 nimang mmoja hiv alikuwa anafrem yake nyumba niliyopanga tulizoeana na akawa anahama kwenda mwanza na familia yake nikamwomba aniachie frem aniuzie items zilizopo tukapiga mahesabu ni km lak2 hiv na mkataba wake ulikuwa unaisha mwez wa3 nikampa pesa ikabaki ananidai elf90 sasa nikawa nafait kutafuta pesa ya kulipia frem mwez wa tatu miez6 ni lak9 hiv frem kwa mwez ni lak1.5...baadaye alinipigia simu na kuniambia natakiwa nimlipe na kodi ya miez3 ndio ikafika hiyo lak2 na20 zngne nilipunguza
Mpaka hapa ninapo andika nipo dukan hapa na naumia sana kudaiwa hivo nahitaji kulipa maden niwe free naomben msaada ndugu zangu....asanten nawasilisha