Kuwa mbumbumbu ni kuwaje? Mhuni ni nani, uhuni ni upi? Usiwe irrational kwa hisia zako. Hujanena vema ndugu, sijaona Mh. Lema kama amevunja sheria za Bunge mpaka umwite mtovu wa nidhamu kama unavyofikiri, ndio mana hajawahi kuadhibiwa na Bunge. Tatizo le2 wa Tz ni kwamba m2 anaporeact na kuonesha hisia zake kwa kutendewa isvyofaa twamuona mkorofi. Unataka awe anaongea kama kama Mh. Masele {shy mjini} ndo umwone anaadabu?