GRANITE II
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 514
- 924
Kwa Mwanza sasa wana kiofisi uchwara maeneo ya Mkolani barabara ya kwenda Ibanda primary...Good morning Patners za kutosha....nilivyosikia hivo tu nikajua yale yale tunayotahadharishwa kila siku kule jf. ..nikapigwa 1st presentation najazwa ujinga tu kuhusu Q net...Mara kuna mwenzetu aliacha kazi ya mshahara 3M ili awe full time kwenye hizi project...nikapewa mambo ya BV kubalance right na left nikawa nacheka moyoni tu.....Sasa baada ya siku kadhaa jamaa ananiambia njoo kwenye 2nd presentation huku ndio kuna 80% ya utirio nikamwambia ili tusiharibu urafiki wetu usidhubutu kunihusisha na hayo mambo tena