Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.

Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Mbona unavyo peleka hiyo milioni tano hukuwashirikisha polisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni mfano tu:
In 2009 the Sudanese government banned QuestNet after allegations were made relating to poor product quality and the non-receipt of products. The same year, the Syrian Ministry of Economics shut down QuestNet for violating its commercial registration, stating that the company had operated a pyramid scheme in Syria and withdrawn billions of Syrian pounds from the country, while also paying few taxes. The shutdown also applies to other agencies of the company.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.

Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Bora wew 5M kuna mama kapigwa 15M hapa mwanza, alidanganywa akawaunga wanae wawili, kuna jamaa mwingine kaingizwa mkenge akakopa leo hii anauza nyumba yake
 
Mimi mwengewe wife kapigwa 5m. Akanishawishi na mimi kuingia. Nilishtuka mapema sana na nilileta hapa uzi kuhusu hii biashara. Ila mods baadae waliiondoa nadhani kwakuwa kulijitokeza maneno makali kwenye ule uzi

Mpaka sasa wife anaamini yupo sahihi. Na akiona nyuzi hizi anasema sisi hatuielewi qnet.
Habari mkuu, sasahiv shemeji anaizungumziaje Q Net? Amesalimika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu.. oa mke mwenye akili. uwe na mashemeji wenye akili pia. ni wendawazimu kabisa kufikiria unaweza weka MIl 8 ukaja ukapata Bil hata 1 kwa mwaka. hizi ni hesabu za wapi? unless otherwise hii iwe ni story tu. ila kama ni kweli wewe hukufanya vizuri baada ya kukukosa wewe kwa nini huku share na mkeo? na kwa nini mkeo hakuamua kuwa smart upstairs? hizi hesabu zingekuwa hivyo unadhani mo dewj au mengi si wangekuwa wanadumbukiza huko mamilion ya pesa wanaenda kuvuna?

hapo mnawaonea tu QNET tatizo liko kwa watanzania wenyewe... wacheni QNET wajipigie pesa bwana.wewe usukuma wako unawahusu nini wao? kama usukuma wako haukukusaidia kutapeliwa hautakusaidia kurudisha pesa... hesabuni tu maumivu. ila kama unataka zirudi mi nina njia ya kuzifanya zirudi ikiwa utanipatia mil 2 tu. zinarudi hata kesho haifiki. ndani ya masaa 24 watazirudisha huku wakikulazimisha uzichukue hata kama hutaki. nitumie hiyo mil 2 halafu nipe masaa 24 tu.
Mkuu, nina 1.5M nisaidie wanirejeshee pesa zangu. Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Qnet naomba muwe waungwana mlimshawishi mke wangu na shemeji watoe milioni 8 ambayo walinunua saa mkasema baada ya miezi 13 watapata bilioni 3.3, mbaya zaidi mkamwambia don't share the information. Yaani mnafanya siri mazungumzo, hela mke katoa lakini mnamzungusha sijui mnasema apeleke mtu mwingine tena ndo alipwe, nyie ni matapeli wakubwa na kesi iko police.

Nawapa onyo mkinishinda mahakamani naenda Gamboshi kuwaroga, nyie watu wa ajabu mlianza kwangu baada ya kunipiga porojo zenu nikawashitukia mkamdanganya mke na shemeji na hii njia yenu kutusalimia good morning hata jioni nahisi ndo njia ya kuwapumbaza watu, nawaambia io hela mtaitoa, mama yangu msukuma.
wewe,mke wako na shemeji yako wote ni wajinga tu.
Kama pesa ni rahisi hivyo si wangenunua hiyo saa hao matapeli wakapata mabilioni hayo?
 
Hii nchi imejaa wapumbavu! yaani ununue saa mil.8 baada ya mwaka unapata bil 1.3! uliona dunia ya wapi biashara ya hivyo! aisee! utapeli kumbe ni kazi kama kazi zingine! tena inalipa kweli kweli,maana majinga kumbe yanaongezeka bado!
Mwizi mwingine na tapeli ni huyu Unga Unga, huyu hata elfu ishirini anatapeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Qnet naomba muwe waungwana mlimshawishi mke wangu na shemeji watoe milioni 8 ambayo walinunua saa mkasema baada ya miezi 13 watapata bilioni 3.3, mbaya zaidi mkamwambia don't share the information. Yaani mnafanya siri mazungumzo, hela mke katoa lakini mnamzungusha sijui mnasema apeleke mtu mwingine tena ndo alipwe, nyie ni matapeli wakubwa na kesi iko police.

Nawapa onyo mkinishinda mahakamani naenda Gamboshi kuwaroga, nyie watu wa ajabu mlianza kwangu baada ya kunipiga porojo zenu nikawashitukia mkamdanganya mke na shemeji na hii njia yenu kutusalimia good morning hata jioni nahisi ndo njia ya kuwapumbaza watu, nawaambia io hela mtaitoa, mama yangu msukuma.
Ushauri wangu ni kwamba kabka hujaanza na qnet anza na mke wako.
Kwann hakukushirikisha mpaka kutoa mahela mengi namna hiyo?au ndio mambo ya suprise aliktaka kukufanyia.Inaonekana mna siri siri sana kati yenu
 
kuna mtu namsubiria kwenye kona, nishamwambia sijui hao alliance global ni uhuni haelewi. juzi naona kajaza vifurushi vya hao jamaa chumbani kwake

anajidai mtafutaji kunizidi juzi anahangaika hana hata mia nami nimeweka vikwazo vya kiuchumi ale matunda ya alliance
 
usilalamike kijana qnet iko poa sema ina hitaji mda sana na wateja wa mara kwa mara kama umetoa pesa halafu unakaa nyumbani usitegeme kuwa utapata cha msingi tafuta mwenzako na yeye atoe milioni tano ili upate commision
Hili wazo lako nadhani uwape ndugu zako, kuanzia wazazi mpaka mke, dada, kaka, nk. Ili mpate hizo faida unazoahidi.
 
Back
Top Bottom