TAX RATES | |||||
C.C | Import Duty | Excise duty | Extra Depreciation duty | VAT | Depreciation duty (2002yr) |
0-1000 | 25% | - | 20% | 18% | 75% |
1001-2000 | 25% | 5% | 20% | 18% | 75% |
2001 and above | 25% | 10% | 20% | 18% | 75% |
Pick ups | 25% | 0% | 0% | 18% | 75% |
Trucks(5tons-18.5tons) | 10% | 0% | 0% | 18% | 75% |
Trucks(above 18.5tons) | 0% | 0% | 0% | 18% | 75% |
Tractors (trucks for pulling semi-trailers) | 0% | 0% | 0% | 18% | 75% |
Buses (from 10 passengers) | 25% | 0% | 0% | 18% | 75% |
Land cruiser Hard tops carrying from 10 passengers | 25% | 0% | 0% | 20% | 75% |
Asalam wanajamvi
Nimejaribu kufunuafunua baadhi ya website za TRA na kukutana na hii kitu,
EEA and JAAI inspection must be done in Japan before importing the car to Tanzania
TAX RATES
C.C Import Duty Excise duty Extra Depreciation duty VAT Depreciation duty (2002yr) 0-1000 25% - 20% 18% 75% 1001-2000 25% 5% 20% 18% 75% 2001 and above 25% 10% 20% 18% 75% Pick ups 25% 0% 0% 18% 75% Trucks(5tons-18.5tons) 10% 0% 0% 18% 75% Trucks(above 18.5tons) 0% 0% 0% 18% 75% Tractors (trucks for pulling semi-trailers) 0% 0% 0% 18% 75% Buses (from 10 passengers) 25% 0% 0% 18% 75% Land cruiser Hard tops carrying from 10 passengers 25% 0% 0% 20% 75%
napata kigugumizi kwenye kuelewa hili jedwali,..
Naomba msaada wenu kwa mwenye uelewa, Je nikihitaji kuagiza gari lenye CC 2000 la mwaka 2004 with CIF price of US$ 7500,ni kiasi gani nitakachotozwa kwa ujumla na mamlaka ya mapato..
Msaada please,its urgent.
Umepotosha sana ukweli. hakuna kitu kama hicho kwenye website ya TRA. Kodi ulizotaja sio za kweli. Depreciattion uliyosema sio sahihi. kama hujui kitu uliza. Usiwe wewe daktarti, mhasibu, fundi wa magari na kadhalika. Kodi ya gari inatozwa kulingana na thamani halisi uliyolipia wakati wa kuingiza gari, hata hito wataalamu wa WTO(World Trade Organization) walikaa na kwa ushauriano na mawaziri wa nchi zinazoendelea wanachama wa WTO wakakubaliana kuwa kwa kuwa mapato ya serikali kwa nchi zinzoendelea yanatokana na kodi za kuingiza bidha nchini, magari yakiwemo na kwa kuwa kuna udanganyifu mkubwa wa kutoa taarifa za thamani ya magari wakati wa kuingiza magari iwepo formula maalumu ya itakayotumika kutafuta thamani ya magari hayo. Formula hiyo ilitengenezwa na naiambatanisha hapa. Jionee mwenyewe.
Hizo fomula ndizo wanazotumia ku-uplift! Thamani ya gari lililotumika linakokotolewa kutokea kwenye bei ya sokoni ya sasa ya gari kama hilo. Hata hivyo bado kuna mwanya wa watu 'ku-manage' hiyo kodi hasa kama kwa kutumia fomula ya TRA gari inakuwa na value ndogo kuliko uliyonunulia.Hivi baada ya kuingiza formula zao hizi badoTRA kale kamtindo ka ku uplift bado wanako?
Uko sawa. Bei za kwenye formula ndio minimum value zao hivyo kama invoice yako ni kubwa watatumia invoice yako, lakini kama ni ndogo watatumia formula. Cha maana kingine ni kuwa makini tu na matumizi ya hiyo formula na pia kudownload bei mpya kutoka kwenye tovuti ya TRA. Bei hizo zinarekebishwa na items mpya kuongezwa kila mara.Hizo fomula ndizo wanazotumia ku-uplift! Thamani ya gari lililotumika linakokotolewa kutokea kwenye bei ya sokoni ya sasa ya gari kama hilo. Hata hivyo bado kuna mwanya wa watu 'ku-manage' hiyo kodi hasa kama kwa kutumia fomula ya TRA gari inakuwa na value ndogo kuliko uliyonunulia.
hata mimi mkuu mbarikiwe wote humunimezipenda taarifa hizi