Qaulity Plaza/Shopping Mall

You are very wrong,nani kakwambia watu wa Temeke hawahitaji Quality? kwani yeye ndo anauza vitu pale si amepangisha wafanyabiashara? Unatka Partition ziwe ghali kwa faida ya nani?
 

mediocre thinking ndo hii
 
wewe investment yako ya ukweli ipo wapi? maana haipendezi kudiss mtu ambaye sio level yako kabisa, kama kukopa na wewe kakope ili tukusifie.
 
nadhani muuliza swali alikuwa anataka kulinganisha na ma shopping mall ya kikweli ya Kenya

babu sisi bado huko unakataka kukimbilia...maybe after 70 years ndio tutakuwa na kitu kama westgate ya Nairobi
 

Poor Junior Member yaani kujiunga na akaunti mpya tu umeanza kumwaga upupu!!!!Naona Faiza Foxy mpya hapa
 
We get the point you had to write something. Next time take time and think before posting anything.
 
Wabongo hebu badilikeni inatusaidia nini hii topiki hapa? leta mawazo ya maendeleo watu shida mpaka imekuwa kama kansa wewe unaleta bumba huna mawazo chanya weweeee hi fom sio kabisa na aina kama yako
 
Kilichokuharibia kwenye hii thread yako mpaka watu wanachangia huku wakiwa emotionally upset ni kutokana na jinsi ulivyomalizia kwa kudharau watu wa Temeke.

 
Kwani Temeke ni CCM au CHADEMA?

Huyu Manji aliwahi kusema kuwa watu wa temeke hawana shopping mall na ndio sababu ya yeye kuijenga hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…