Qaulity Plaza/Shopping Mall

You are very wrong,nani kakwambia watu wa Temeke hawahitaji Quality? kwani yeye ndo anauza vitu pale si amepangisha wafanyabiashara? Unatka Partition ziwe ghali kwa faida ya nani?
 
Mliokwenda tunaomba mtuletee ripoti

Mara ya mwisho nimepita pale ilikuwa mwaka jana mwezi wa 9 na to be honest I wasnt impressed at all...inaonekana mdosi kakopa pesa kwa ndugu na sio benki kufanya ile shughuli partition zilikuwa so cheap utafkiri uwanja wa 77 kwenye trade fair

na niliona kule juu kuna cinema hivi kuna mtu kashaenda?

all in all naona kwa kuwa target yake ni watu wa Temeke na beyond atakuwa anategemea zaidi Volume kuliko quality

any thoughts?

mediocre thinking ndo hii
 
wewe investment yako ya ukweli ipo wapi? maana haipendezi kudiss mtu ambaye sio level yako kabisa, kama kukopa na wewe kakope ili tukusifie.
 
nadhani muuliza swali alikuwa anataka kulinganisha na ma shopping mall ya kikweli ya Kenya

babu sisi bado huko unakataka kukimbilia...maybe after 70 years ndio tutakuwa na kitu kama westgate ya Nairobi
 
Mliokwenda tunaomba mtuletee ripoti

Mara ya mwisho nimepita pale ilikuwa mwaka jana mwezi wa 9 na to be honest I wasnt impressed at all...inaonekana mdosi kakopa pesa kwa ndugu na sio benki kufanya ile shughuli partition zilikuwa so cheap utafkiri uwanja wa 77 kwenye trade fair

na niliona kule juu kuna cinema hivi kuna mtu kashaenda?

all in all naona kwa kuwa target yake ni watu wa Temeke na beyond atakuwa anategemea zaidi Volume kuliko quality

any thoughts?

Poor Junior Member yaani kujiunga na akaunti mpya tu umeanza kumwaga upupu!!!!Naona Faiza Foxy mpya hapa
 
We get the point you had to write something. Next time take time and think before posting anything.
 
Wabongo hebu badilikeni inatusaidia nini hii topiki hapa? leta mawazo ya maendeleo watu shida mpaka imekuwa kama kansa wewe unaleta bumba huna mawazo chanya weweeee hi fom sio kabisa na aina kama yako
 
Kilichokuharibia kwenye hii thread yako mpaka watu wanachangia huku wakiwa emotionally upset ni kutokana na jinsi ulivyomalizia kwa kudharau watu wa Temeke.

Mliokwenda tunaomba mtuletee ripoti

Mara ya mwisho nimepita pale ilikuwa mwaka jana mwezi wa 9 na to be honest I wasnt impressed at all...inaonekana mdosi kakopa pesa kwa ndugu na sio benki kufanya ile shughuli partition zilikuwa so cheap utafkiri uwanja wa 77 kwenye trade fair

na niliona kule juu kuna cinema hivi kuna mtu kashaenda?

all in all naona kwa kuwa target yake ni watu wa Temeke na beyond atakuwa anategemea zaidi Volume kuliko quality

any thoughts?
 
Kwani Temeke ni CCM au CHADEMA?

Huyu Manji aliwahi kusema kuwa watu wa temeke hawana shopping mall na ndio sababu ya yeye kuijenga hii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom