Qatar quits OPEC

Qatar quits OPEC

Kama bagamoyo huwa mnaenda kutalii mkiziacha nyumbani akili zenu nitashawishika kuamini kuwa hamyajui makosa ya mwarabu.

Napenda mjadala uurejee mkondo wake.

Nashkuru Mungu tumeishi na waarabu karne na karne ila sijaona ubaya wao, na hata nchi zao nimetembea inshort ni watu wazuri kuliko jamii yeyote hapa duniani..pia nnashkuru Mungu sikujaaliwa chuki na roho mbaya dhidi yao...jifunze na wewe kupitia kwangu na wengine pia wenye roho mbaya na chuki dhidi yao!
 
Ndio maana wese limepanda kutokana na hizi external factors.
 
Nashkuru Mungu tumeishi na waarabu karne na karne ila sijaona ubaya wao, na hata nchi zao nimetembea inshort ni watu wazuri kuliko jamii yeyote hapa duniani..pia nnashkuru Mungu sikujaaliwa chuki na roho mbaya dhidi yao...jifunze na wewe kupitia kwangu na wengine pia wenye roho mbaya na chuki dhidi yao!
Kwingineko waliruhusiwa kutumika huku kende zao zikiachwa salama haiyumkini waendeleze kizazi chao cha kitumwa lakini sio uarabuni!!

Nionyeshe uzao wa watumwa uarabuni.
 
Kwingineko waliruhusiwa kutumika huku kende zao zikiachwa salama haiyumkini waendeleze kizazi chao cha kitumwa lakini sio uarabuni!!

Nionyeshe uzao wa watumwa uarabuni.

Uarabuni hakuna watumwa, bali kuna weusi wengi sana kama sisi, na haki wanapewa kama wazawa...
 
Kiongozi; nimejaribu tu kukumbusha yanayoendelea huko katika dunia ya kiarabu. Tahadhari tu kwamba kwa mwendo huu wa baadhi ya wanachama, in this case Qatar, kuanza kujitoa, itaathiri huo umoja. Tunajaribu kukana historia iliyo wazi hata kama ni chungu ni lazima tuikubali tu maana historia ikiandikwa imeandikwa haifutiki.

Si kweli kwamba waarabu wanavurugana wenyewe kwa wenyewe? Hayo maelezo sijui utetezi wa Waziri wa Qatar ku-justify nchi yake kujiondoa yameeleweka lakini? Hajazungumzia mambo ya ukabila (tribes), ugaidi, n.k.? Wakizungumza wao sawa ila wengine humu tuki-comment kitu hicho hicho watu wanalipuka utafikiri nini sijui! Matusi hayafuti historia na wala hayaondoi ukweli wa jambo Mkuu.

Mkuu nimeona kila aliyejaribu kukosoa ulichokiandika mwanzo ametumia lugha laini,na hakukuwa na haja ya wewe kuanza kuchokonoa jambo lolote linalogusa imani za watu,kwa uzi haukuegemea huko hata kidogo.
Ila hapo napo naona unatetea ulichokifanya bila kuhisi kuwa ulicho kifanya hakikuwa sawa.
Anyway hongera kwani umefanikiwa kuhamisha topic
 
Usitoke nje ya mada,jibu swali huyo allah wenu mbona hawasaidii,zaidi ya waarabu laki mbili wamechinjwa uarabuni,ina maana huyo allah wenu hayaoni hayo

Mkuu unashangazwa na MOLA WETU MLEZI kutowakinga waarabu wasiuawe?
Vipi Mungu wenu alishindwa kuzuia WAYAHUDI zaidi 6 milioni kuuawa.
Vipi mungu wengu alishindwa kuzuia bwana wenu alipiliwe misumari katika msalaba kama mlivyomsingizia NABII IYSSA alayh salaam?
 
Back
Top Bottom