Qatar Nayo Yaibamiza Libya

Wanakwambia misaaada itakatika na tende zitapungua etiiii, halafu si ndo huyu gaddaf alitaka Tz iwe ya kiislam na sharia law itnge?ndo huyu aliintroduce hii mahakama ya kadhi eeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhh

Kimeumana!!!!!!!!
 

Ami kwani hujui serekali inawalipa waislam Subsidy, kupitia bakwata, kwa kutumia taasisi za kiislam kama hospital na mashule? au ni kwa vile mashehe wanafanya siri? kalize viongozi wako....
je unajua ZNZ inapata kiasi gani kutoka kwa watalii wanaoingia kuangalia lile kanisa pale stone town? kwa nini serekali ya ZNZ yenye waislam isilivunje?
Haiitaji kufika chuo kikuu kuelewa haya mambo.
je muheza kuna wakristu wangapi? kwa nini hakuna hospital ya serekali au ya waislam?
je kama Kikwete unafikiri anasimamia maslahi ya waislam, kwa nini amekubali kuwalipa wakristo hayo mabilioni ya hela?
Fungua macho na utazame ukweli....Adui wa uislam ni waislam wenyewe.
 
Hum waislam leo hii wakirudi ktk nidhamu yao sawasawa na kuishika njia ya mtume wao. Amerika na washirika wake watasambaratishwa na dunia itakuwa salama.

Huo usalama umewashinda hapo dunia ya kati. Hivi sasa wanakatana vichwa kama wehu walio shiba ngama. Poleni sana wafuasi wa allah kiumbe. Naona allah wenu ameshindwa kuwapa amani mpaka mpate msaada kutoka ulaya na amerika. Mimi nilifikiri allah is all powerfull, kumbe la, si mali kitu.

Nawapa hongera NCHI YA QATAR KWAKUEREVUKA na kuachana na udini wa allah.
 
Mimi sina taarifa iwapo waislamu wanapata hiyo subsidy.Ikiwa una taarifa zaidi basi tujuvye.
Watalii wanaokuja Zanzibar kuangalia kanisa wala hawawezi kukuza uchumi.Wengi wao ni wahuni tu,na huwa tunakula nao mihogo mitaani,hiyo pesa ya kuingia serikalini itatoka wap?.Lile kanisa ni nuksi kwa Zanzibar na nakubaliana na wewe livunjwe kabisa.Kwanza limetungiwa uwongo mwingi ikasahaulika kuwa pale ni nembo ya biashara ya utumwa uliofanywa na wakristo chini ya muiengereza.
Unajuwa kuwa jeshi lote la Qattar linaongozwa na wamarekani na waiengereza?.Wakiwataja Qattar ni kujitoa kimasomaso tu na kuutia ulimwengu changa la macho juu ya uharamia wao.Wamezoea hivyo.Walifanya Zanzibar wakawasingizia waarabu na waislamu.
 

Umenena, una point nzuri za kitaalam. Amii!! Amii!! Unahisi kitu gani tena?
 

Ombaomba wakubwa nyie, tena bila ya haya. Huyo Gadafi si ndie alituma ndege wakati ule wa vita na Idd Amin kuja kulipuwa Tanzania, leo mnajifanya kusahau kwa sababu ya dezo ya Tende, sasa mnauza utu wenu kwa yule jangiri. Kisa, anarangi ya kimanga. Hapo ndipo mnaonyesha kusujudu watu na allah wenu ni bandia tu.

Sasa unasema eti kanisa lilitumiwa kwa utumwa, huku unakataa kusema watumwa wote wa kiafrika walio kwenda Umangani walikwa vichwa na Waislam Wa Kiarabu, miungu yenu. Wewe hujuwi chochote zaidi ya kulete upupu hapa.
 

Wewe unatakiwa utunukiwe U-doctor! Kumbe bado kuna WaTz waliotakaswa akili namna hii? Nilifikiri tofauti lakini kwa hili, nimeamini bado tunaweza.
 

Mh! Umeenda mbali kutaja biashara ya utumwa maana waarabu walivyofanya ndg zetu haitakiwi uwateyee Waarabu labda uwe Amii kweli kweli.
 
........... unalinganisha "home made missile" na "laser guide missile" (kombora linalodhibitiwa muelekeo) ? una hoja kweli wewe ?!
Kabla hujaja hapa na kudhiirisha utupu wako kafanye kwanza research ya kile unachokisimamia, tangu lini Grad Missile (BM-21) ikawa home made missile? HAMAS wanatumia BM-21 zilizotengenezwa Iran na China, ila kwa kuwa IAF wanamonitor anga la Gaza Strip 24/7 na missile armed drone HAMAS wanatumia portable 122mm missiles ambazo zinahamishika kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…