Qatar Nayo Yaibamiza Libya


Tende na halua na kutuharibia vijana wetu ndio msaada? Inawezekana lakini kwako! Vijana wanalegezwa wewe waona msaada! Ok kila mtu na akili yake.
 
Humo nimo "bold" tuko pamoja mkuu. Uislaam ni dini iliyokosa kufahamiwa sio na makafiri tu! hata waislam wenyewe, uislam huwezi kuutetea kwa maandamano. uislaam unataratibu zake za kuondoa matatizo katika jamii.na haya yanayo tokea leo duniani mbona Mtume Muhammad (s.a.w) alikwisha yatoloea maelezo, zitafika zama makafiri wataalikana kuwashambulia waislaam kama vile wanavyo alikana kula chakula kwenye shughuli. waislam hawakutakiwa kubabaika na hali hii, walitakiwa kurudi ktk muongozo alioutumia mtume wao ktk kuondoa matatizo. mtume Muhammad anakuja duniani yalikuwepo madola ya kidhalimu yenye nguvu na jeuri kama ilivyo kwa Amerika leo, Dola ya Rumi na Wafurs haya yaliokuwa ni madola yenye nguvu na jeuri, haya aliyasambaratisha na mengine yaliyobaki yaliitambua nidhamu ya kiislam na kuiheshimu. vikundi vya alqaida,alshabaab na vyenginevyo hivi vinakwenda kinyume na utaratibu wa uislamu ktk kutatua matatizo kwa mtazamo wa uislaam. waislam leo hii wakirudi ktk nidhamu yao sawasawa na kuishika njia ya mtume wao. Amerika na washirika wake watasambaratishwa na dunia itakuwa salama.
 

You deserve to be the real great thinker sir-Na kinachonishangaza kwa wasioelewa ni kutokana na mifano hai ya Iraq, Afghanistan nk, walidai wanaenda kuweka democracy, hivi kweli wenzetu mnaoshabikia uvamizi huu hamuoni kinachotendeka iraq kwa sasa? Acheni roho mbaya ya nafsi, kama tunaitanguliza haki tuikemee japo kwa kuchukia kwa kile kinachooendelea libya kwa sababu hakuna sababu ya msingi. Na sikweli kwamba walibya ndio walioandamana kutomtaka gaddaf kwani hata baadhi ya waliokamatwa walikuwa hawajui kiarabu-fikiri kwa upeo wako si kwa upeo wa wenzako.
 
Yani kila kitu lazima kuingiza udini? Hii inatia kichefu chefu sasa, umeambiwa uko Libya hakuna watu wa dini nyingine?

Kiongozi wa nchi anaua watu wake systematically mnataka jumuiya ya kimataifa ikae kimya isiingilie kisa ni muislamu?
 
Libya haijavamiwa kwa sababu hakuna askari wa mataifa mengine kwenye ardhi yake isitoshe Resolution ya 1973 inakataza majeshi yoyote ardhini. Acha kupotosha jamii.
 
Yani kila kitu lazima kuingiza udini? Hii inatia kichefu chefu sasa, umeambiwa uko Libya hakuna watu wa dini nyingine?

Kiongozi wa nchi anaua watu wake systematically mnataka jumuiya ya kimataifa ikae kimya isiingilie kisa ni muislamu?

Kwani mkuu kosa la kuua linajalisha idadi au? Mbona Arusha jk kaua, Mbona Pemba Mkapa kaua, Mbona Waisrael wanaua, Mbona Wamarekani wanawaua Iraq, mbona gbabo anaua ivory coast, mbona bahrain wanauawa, mbona kwenye migodi yetu tunauawa-hebu niweke sawa katika haya then tuwe pamoja kutetea mauaji ya libya!
 
Ongezea HAMAS, Hizbollah, Taleban, Al Qaeda, FARC, Janjaweed, Abu Sayyaf etc etc wanaua.

Kurudi kwenye swali lako, nini hasa unachotaka nijibu?
 
Libya haijavamiwa kwa sababu hakuna askari wa mataifa mengine kwenye ardhi yake isitoshe Resolution ya 1973 inakataza majeshi yoyote ardhini. Acha kupotosha jamii.

simamia vizuri kwa ulichokiandika, pale baharini hakuna vikosi vya kijeshi pale (au bahari siyo ardhi)? Pia hujaskia hata ya kuwa Vikosi vya ardhini vipo benghaz kwa kinachoitwa kuzuia mashambulizi ya askar watiifu wa gaddaf-jamani tusimamie kwenye haki ndo tutapata majibu-Ivi kweli kwa akili zako yale waliyofanya wanaompinga gaddaf ni maandamano au uasi, na haya ya arusha nini, na yale ya pemba nini-mbona watu wameuawa na hakuna "jumuiya ya kimataifa haikufanya lolote" au mi ndo sjaskia kwamba mkapa na jaykey wako the hague! fikiri kwa upeo wako usifikiri kwa upeo wa wenzako.
 

Sasa kama ushaconclude natumia upeo wa mwenzangu kufikiria unategemea nitakupa jibu utakalo kubaliana nalo?

Kabla hatujaenda mbali na kujaza bandwidth huu mgogoro wa Libya wewe umeanza kuufuatilia tangu lini?

Hayo ya mauaji ya Tanzania na Bahrain yaanzishie thread yake.
 

Ntarudi mchana wa aftanuun, naona mai waif wa mke wangu ananigombeza chai apa si unajua mambo ya jf yakipamba moto? Ciao
 

Kumbe pamoja na Rais kulalamika sana na masuala ya Udini wa CHADEMA, kumbe nae anafuata mfumo Kristo???
Hebu tuandamane tuwaambie Qatar, Saudi Arabia na wengine waache kufuata mfumo Kristo

Kwa ujumla Uarabuni saa hizi ni vipande vipande kama CCM ilivyo sasa, huyu anakubali hule anakataa.
Na mwisho wa siku, mfumo Kristo utatawala arabuni kote.
Kweli mfumo Kristo ni nouma
:lol:
 
Yani kila kitu lazima kuingiza udini? Hii inatia kichefu chefu sasa, umeambiwa uko Libya hakuna watu wa dini nyingine?

Kiongozi wa nchi anaua watu wake systematically mnataka jumuiya ya kimataifa ikae kimya isiingilie kisa ni muislamu?

............... dini kwetu ni nidhamu ! na kafir siku zote anataka kutuburuza kutuingiza kwenye mila na desturi zao ! sisi mila yetu tuliyousiwa ni ya Ibrahim, kwani hakua miongoni mwa washirikina (Loliondo) wanafiki (Waturk, Qatar) na madhalim (Amerika/Israel)
 
Hizo grad missiles zinazorushwa kutokea gaza strip zimetengenezwa kwa mawe?

........... unalinganisha "home made missile" na "laser guide missile" (kombora linalodhibitiwa muelekeo) ? una hoja kweli wewe ?!
 

......... hata Makaburu akina Pik Botha walihalalisha "apatheid" kwa kutumia Bible, unalijua hilo ? katika kitabu cha "KUTOKA" Tanzania iliiisaidia afrika Kusini kubadilasha utawala, ina maana waliipinga Bible ! je akija mtu akitupa andiko la Brahma (Bible ya Hindu) kuwa Tanzania ni yao tuwapishe ?!
 
nimesoma heading yako kuwa qatar nayo yaibamiza libya ila ukisoma habari vyema utaona kuwa ndege za qatar zimefly over libya kuhakikisha resolution ya no fly zone inafuatwa.
sasa ndege zake kuruka kwenye anga la libya sio kupiga mabomu.ni lugha au ni upotoshaji wa makusudi.
TAFAKARI,CHUKUA HATUA.
 
....... unajua gharama ya TOMAHAWK (kombora) moja !? .......... hayo yote yanafanywa kwa mapenzi juu ya Walibya ? .......... wacha kuuliza maswali kibwege !:tongue:
Hamia Libya basi utuachie nchi yetu ya africa...walijifanya wao ni waarabu yalipowajia shingoni wakajua ni waafrica...
 
Nashangaa kwetu ufisadi, mauaji, utawala wa kibabe,Dowans, Loliondo,Epa, Power tiller, Jamaa hawaandamani leo wanaandamana sababu ya Libya! Kweli kusoma siyo kuhudhuria darasani, mambo mengine ni ya asili! Tupeane pole


Wanakwambia misaaada itakatika na tende zitapungua etiiii, halafu si ndo huyu gaddaf alitaka Tz iwe ya kiislam na sharia law itnge?ndo huyu aliintroduce hii mahakama ya kadhi eeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhh
 
ion
mkuu achana na Kikwete, tanzania tuhesabu we no have presdaaaaaa by imagination...
 

Bora mjjinga kuliko Mpumbavu!!. Napita tu mimi mgeni maeneo haya ila kuna kitu nimesoma nikashtuka sana! Poleni mnaokaa hapa maana hili tangazo latia kichefuchefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…