Ni kawaida wakati wa maafa kuonesha mshikamano.Nchi ya Qatar imetoa dola mil $30 na Falme za Kiarabu (UAE) imetoa dola mil $10 kuwasaidia wahanga wa kimbunga Harvey mjini Texas, Marekani.
Nikweli mkuu hata mimi nimesikia hivyo, kuhusu UAE kuchangia hicho kiasi sijasikia ni kama nilisikia QATAR yenyewe ndo imetoa huo msaada!!Nilicho sikia kupitia idhaa ya kiswahili sauti ya German ni dollar ml 300 na 30!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app