Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Serikali Qatar inatumia Dola milioni 500 kwa wiki kwa ajili ya miradi ya matayarisho kwa ajili ya kombe la dunia itakayofanyika huko 2022. Hii ni gharama pamoja Kujenga viwanja vipya, barabara, reli, hospitali nk.
Gharama ya kukamilisha ujenzi huu itakuwa dola bilioni 200.
Hiyo ndio itakuwa matayarisho yenye gharama kubwa kuwahi kutokea katika kutayarisha mashindano hayo, mwaka 2014 Brazil ilitumia dola bilioni 11 na Urusi mwaka 2018 itatumia dola bilioni 10.7.
Qatar ni nchi inategemea mapato yake makubwa Kutokana na uuzaji wa Gesi na Mafuta.