Asante mkuu, nitafanya ivyo...maana waliniambia ni Diamond Plaza, na ni Jumanne nahitajika kufika, mimi ni mgeni kabisaa huko, nahitaji kujua nitafikaje kwa hizo Ofisi zao mkuu!!
[h=2]Dar Es Salaam - Dar es salaam[/h]
[TD="class: bold, width: 25%"]Address[/TD]
[TD="class: bold, width: 75%"]Dar Es Salaam[/TD]
[TD="width: 25%"] [/TD]
[TD="width: 75%"]Diamond Plaza, 4th floor[/TD]
[TD="width: 25%"] [/TD]
[TD="width: 75%"]Samora Avenue and Mirambo Street Junction[/TD]
[TD="width: 25%"] [/TD]
[TD="width: 75%"]Dar es salaam, Tanzania[/TD]
[TD="class: bold, width: 25%"]Opening Hours[/TD]
[TD="class: bold, width: 75%"]Monday to Friday from 08.30am - 05.00pm, Saturday from 08.30am -01.00pm, Sundays closed.[/TD]
[TD="class: bold, width: 25%"]Other Telephone:[/TD]
[TD="width: 75%"]+255 22 2198301-302-303-305[/TD]
[TD="class: bold, width: 25%"]Fax:[/TD]
[TD="width: 75%"]+ 255 22 2127400[/TD]
@@@@@
Pia ungesema upo wapi mjini dar yaani utakuwa unatokea wapi kwenda huko mjini ili iwe rahisi kuelekezwa na usafiri gani utakuwa bora...usiseme muda wako wa interview humu wala saa, walaa saa ngapi utatoka ulipo kwend
wewe sema tu unatoke wapi ushauriwe....juu hapo nimekutumia anuani...so fika samora avenue mjini kabisa then fatilia anuani na uliza ingia ndani kwa wenye maduka usiulize wa barabarani.
Goodluck