Kaka nahisi unadanganya uma, sijawai ona wala kusikia hiyo,, yaani Qatar ifanye trip dar to nairobi napo ijazie abiria then doha.. Mhhhh?
Nimesafiri na Qatar mara nyingi sana sababu ni among cheap airline kwa safari za Asia from Tz, nauli zake zipo chini compared to emirates..
Wa dar qatar anaondoka saa 7 mchana kuelekea doha, na nyingine inaondoka saa 12 jioni from dar to doha direct..
Na zinakuja mbili pia kila siku moja inaingia saa 1 asubuhi.. Na nyingine inaingia saa 7 mchana zote direct from doha to dar..
Na hiyo inayokuja saa 1 asubuhi ndio inageuza saa 7 mchana kurudi doha, na hiyo inayokuja saa 7 mchana ndio inayogeuza saa 12 jioni kurudi doha
Kwa Nairobi nahisi unadanganya maana Nairobi napo wanapeleka ndege kila siku direct from doha na kurudi doha direct