Q Chillah : Mwana FA acha utoto

Sure chief umeandika ma-point mazito. Mi FA nilikua namheshimu sana ila nikamdharau alpokubali kutumika kumshusha Jide. Watu mmetoka mbali nyinyi ndiyo mlikua wasanii miongoni mwa vizazi vya mwanzo kisha leo hii unasaliti chama. Since that day nikamuona ni dunduu tu!
 
Naona jamaa unamshambulia sana Q Chief sababu Q Chief na watanzania wengi timamu wanauliza Mwana FA alienda lini South Africa wakati jumamosi alikuwa kwenye uzinduzi wa albamu ya Harmonize so South alienda lini na kurudi lini, pia kitendo cha msanii msomi na uelewa kama FA huwezi kuiponda korona kwamba malaria ni hatari kuliko korona wakati dunia nzima imesimama sababu ya korona ,shule biashara zinafungwa sababu ya korona mmarekani ametangaza raia zake wote warudi nyumbani kitu ambacho hakijawahi kutokea ktk dunia hii karibuni halafu anatokea mtu kama FA anasema sisi weusi hauwezi kutuua amefanya utafiti gani kwa kweli FA kajishusha sana heshima yake hata kama aliugua korona siyo kwa approach hiyo aliyotumia kuulezea watanzania kwa kweli amechemka
 
Yule jamaa itakuwa ni punga sio bure
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…