Python Stream Socket Programming!

Hadoop

Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
88
Reaction score
15
Wadau, mm ni mgeni wa python language.
Ninataka ku implement client inayotransfer ma files zaidi ya moja kwenda kwa server app, in python language.
Ningependa nitumie Stream Sockets (TCP) na sio Datagram Sockets(UDP).
Nimecheki hii sample HAPA online lakini sijafanikiwa ku transfer files hizo.

Naomba mwenye sample code au aliye elewa hii code anielimishe.

Shukrani.
 
Unatumia UI au just batteries included?
BTW ningeshauri ujifunze wxPython. Ina-abstract vitu vingi sana. Huko utakuta wx.Socket class dedicated to TCP/IP sockets streaming.

Kama uko vizuri C++ then jifunze wxWidgets badala ya wxPython. Ninachoweza kusema ni kuwa, unless huna mpango wa kufanya kitu serious huwezi ishia na console apps.

Back to the link tatizo ni nini? Where is your current code?
Error message? Sijafanikiwa explains nothing 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…