Python- programmer anahitajika.

Welcome to the limitation of Python.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Asante broh, una kingine cha kuniongezea, maana mim ni completely biginner ila nina passion ya programming
 
 

Je ninaweza kujifunza hiyo hiyo peke yake ? Na projects zipi naweza kuzifanya kwa kutumia hiyo language
 
Mwenyewe nipo on the same road na nina kama miezi sita na because umesema hujui python jifunze kwanza python try kitabu ya "Learning Python" by Mark Lutz. nimesoma a lot of articles za videos ila huyu anaingia in depth zaidi on foundation zake na then statistics because naona focus yako ipo on Machine Learning focus kwenye topic ya regression huwa ina saidia sana na tafuta a common interest kama Business au Medical au politics ili uwe na a reason au objective to actionable data.
Jaribu Kitabu ya "Hands on Data Science and Machine Learning by Frank Kane"

Tools:
Pycharm kama alivyo taja
Anaconda
CC Labs (Skills Network Labs) by IBM/ IBM Watson Studio

na pia usisahau algebra na pia linear na Python au R ndio language ya kuanzaia ila unaweza tumia EXCEL kuanza pia SQl itasaidia
 
Hiyo java Tia mfukoni....
Python z the Best n highly recommend..
You can learn it for 1 week , practice more n data structure n Algorithms..1week...then Jump into Data Science
πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Asante broh, una kingine cha kuniongezea, maana mim ni completely biginner ila nina passion ya programming
Mimi ni complete biginer kama wew ila nakushauri tafuta app inaitwa quora huko ndo wamejaa manguli wa hii mambo kuna game najifunzia very very easily way
 
Na anaetaka kujifunza haya darasani achukue course zipi miongoni mwa computer science, information technology ama computer engineering
 
Hiyo java Tia mfukoni....
Python z the Best n highly recommend..
You can learn it for 1 week , practice more n data structure n Algorithms..1week...then Jump into Data Science
Dah kudadekiπŸ˜‚
 
Na anaetaka kujifunza haya darasani achukue course zipi miongoni mwa computer science, information technology ama computer engineering
Python utasoma mwenyewe, hakuna course inayo relate na CS ambayo wanafundisha python hapa bongo labda sikuizi, Nakumbuka AI na ML tulitumia c++ na kwenye expert system tikatumia prolog kwa hiyo komaa.
 
Upo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…