Python- programmer anahitajika.

Mafua ya kuku

Member
Joined
May 31, 2019
Posts
92
Reaction score
76
Wakuu mambo vipi!

Natafuta mtu wa kuni mentor hiyo kwenye python programming. Nina passion na hiyo language hasa kwenye mambo ya data science na Machine learning.

Nimeanza kupitia videos na notes za online mbali mbali.

Kama upo humu utaweza kunisaidia nichek PM Au watsup 0654171555.. Najua hakuna kitu cha bure bure , kwahyo tuongea kuhusu malipo.

Nipo dsm, kimara korogwe.
 
Hata na mimi natafuta mkuu mwalimu akipatkana nijulishe tuungane
 
Kuna channels za Telegram za beginner unaweza kuanza taratibu kujifunza, lakini kuna language nyingine yoyote unaijua tofauti na hii unayoitaka maana ni too tough
 
issue sio Python, issue ni Statistics, lazima uwe nondo aisee la sivyo utaishia kwa 'web scraping/data entry' na Python yako (joking ila ni ukweli)

lazima uwe deep/nondo kwa Statistics( na Probability yake), Linear Algebra, Calculus ( tena kwa undani)
 

Si dhani kama kuna haja ya kuwa deep sana, maana nina concept na hivyo vitu, mambo ya linear regression, correlation, . Hivyo vitu tulipiga chuo.
 
labda nikusaidie tu, Python sio ngumu ila ina tumia kitu kinaitwa Libraries kufanya maajabu, Izi Libraries zimetofautiana kulingana na kazi husika mm natumia Tensorflow kwenye AI vitu kama Image-to-text, taxt-to-image au chatboot simple tu. Pia ng'eli ng'eli mkuu kama ngeli haipandi itakua changamoto Pia soma data structure & Algorithm alafu tumia jupiter notebook(anaconda) kujifunza alafu kuna IDE moja inaitwa PYCHARM PRO(kwangu mm ndo best kwa py) au KOMONDO au MVS kudevelop systeam. jua tu maajabu ya python yapo kwenye libraries
 
Now I understand kwanini kwenye ofisi ya HoD kulikua na karatasi limeandikwa "Life is too short, You need PYTHON "
 

Mkuu naomba nikutafute kwa maelekezo zaidi.
 
Kuna mtu amenishahuri nianze na C , hii imekaaje wataalamu..
Nahisi ndio sahihi sana maana mitaala karibu ya vyuo vyote programming language wanaanzia na C kama basic language then ndio wanaendelea na language nyingine so naona ukianza na hiyo unapata basic ya language nyingine na inakurahisishia kuzisoma vizuri!
According to my point of view.
 
Shida yangu ni Data science na Machine learning, sasa Java itafaa kweli. Mkuu
Hahaha kaka python ni rahisi ukishaijua java au C kama ulivyoambiwa.
.
Ugumu wa Python utakuja kama hakuna language nyingine yoyote unayoijua.

Extensible
It implies that other languages such as C/C++ can be used to compile the code and thus it can be used further in our python code.

Large Standard Library
Python has a large and broad library and provide rich set of module and functions for rapid application development.

Inaweza kuwa rahisi kuwa_integrated na languages kama C, C++, JAVA etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…