the_pythonman2016 Member Joined Jun 10, 2024 Posts 35 Reaction score 17 Jun 13, 2024 #1 Habari, Natoa Training ya Python for data analysis. Modules to be discussed 1.Pandas 2.Numpy 3 Matplotlib 4.Seaborn Tutatumia dataset kutoka sources mbalimbali Training Period: 30 days Training Platform: Zoom Contacts: Phone:+255622071858/+255766047800 Email: infonet20th@gmail.com Mwanza,Tanzania
Habari, Natoa Training ya Python for data analysis. Modules to be discussed 1.Pandas 2.Numpy 3 Matplotlib 4.Seaborn Tutatumia dataset kutoka sources mbalimbali Training Period: 30 days Training Platform: Zoom Contacts: Phone:+255622071858/+255766047800 Email: infonet20th@gmail.com Mwanza,Tanzania
Anko Bantu JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 833 Reaction score 1,052 Jun 13, 2024 #2 Ngoja waje
Ultimate JF-Expert Member Joined Nov 29, 2016 Posts 739 Reaction score 1,890 Jun 13, 2024 #3 Mkuu ongeza nyama kidogo. Unafundisha python library or data analysis?? Mfano: pandas - tutatumia kufanya kitu gani, numpy tutatumia kufanya nini pamoja na mifano
Mkuu ongeza nyama kidogo. Unafundisha python library or data analysis?? Mfano: pandas - tutatumia kufanya kitu gani, numpy tutatumia kufanya nini pamoja na mifano
the_pythonman2016 Member Joined Jun 10, 2024 Posts 35 Reaction score 17 Jun 21, 2024 Thread starter #4 Imejieleza kaka,ni Data Analysis kwa kutumia Python, modules to be discussed ndio hizo hapo Ukisema nieleza pandas inafanya kazi gani hapo sasa nitakuwa nafundisha ,hizo ni hinnts tu.Ukianza utajua zaid
Imejieleza kaka,ni Data Analysis kwa kutumia Python, modules to be discussed ndio hizo hapo Ukisema nieleza pandas inafanya kazi gani hapo sasa nitakuwa nafundisha ,hizo ni hinnts tu.Ukianza utajua zaid
Doubleg Malafyale JF-Expert Member Joined Feb 17, 2017 Posts 3,094 Reaction score 4,110 Jun 21, 2024 #5 the_pythonman2016 said: Imejieleza kaka,ni Data Analysis kwa kutumia Python, modules to be discussed ndio hizo hapo Ukisema nieleza pandas inafanya kazi gani hapo sasa nitakuwa nafundisha ,hizo ni hinnts tu.Ukianza utajua zaid Click to expand... Katika tangazo lako hujaweka gharama ya mafunzo
the_pythonman2016 said: Imejieleza kaka,ni Data Analysis kwa kutumia Python, modules to be discussed ndio hizo hapo Ukisema nieleza pandas inafanya kazi gani hapo sasa nitakuwa nafundisha ,hizo ni hinnts tu.Ukianza utajua zaid Click to expand... Katika tangazo lako hujaweka gharama ya mafunzo
albab JF-Expert Member Joined Jul 6, 2018 Posts 2,016 Reaction score 3,422 Jun 21, 2024 #6 Ni Bure karibuni sana
Tychob JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 4,135 Reaction score 5,401 Jun 21, 2024 #7 Sawa sawa
the_pythonman2016 Member Joined Jun 10, 2024 Posts 35 Reaction score 17 Jun 21, 2024 Thread starter #8 Doubleg Malafyale said: Katika tangazo lako hujaweka gharama ya mafunzo Click to expand... Ndio maana nimeweka namba. Karibu
Doubleg Malafyale said: Katika tangazo lako hujaweka gharama ya mafunzo Click to expand... Ndio maana nimeweka namba. Karibu
the_pythonman2016 Member Joined Jun 10, 2024 Posts 35 Reaction score 17 Jun 21, 2024 Thread starter #9 albab said: Ni Bure karibuni s Click to expand... albab said: Ni Bure karibuni sana Click to expand... Nimeweka namba hapo. Tunaweza wasiliana
albab said: Ni Bure karibuni s Click to expand... albab said: Ni Bure karibuni sana Click to expand... Nimeweka namba hapo. Tunaweza wasiliana
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,957 Reaction score 16,008 Jun 21, 2024 #10 Mi nataka nvivo siku ukiifundisha count me in
the_pythonman2016 Member Joined Jun 10, 2024 Posts 35 Reaction score 17 Jun 25, 2024 Thread starter #11 Zamaulid said: Mi nataka nvivo siku ukiifundisha count me in Click to expand... Noted,