Nani anaujua mti unaoitwa Pygeum tree, magome yake hutumika kutibu tezi dume. Nimepita mtandaoni picha za kule zinanichanganya kwa sababu zinakuja species tofauti.
Naomba anayeujua kwa kina na picha zake ili nijiridhishe
Nani anaujua mti unaoitwa Pygeum tree, magome yake hutumika kutibu tezi dume. Nimepita mtandaoni picha za kule zinanichanganya kwa sababu zinakuja species tofauti. Naomba anayeujua kwa kina na picha zake ili nijiridhishe