Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,436
- 872,034
- Thread starter
- #21
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nini!Kumbe "inafanana" na pweza.hahahahahahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nini!Kumbe "inafanana" na pweza.hahahahahahahah
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] eshima yako mkuu. Maneno kuntu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kibwayaa-kyupi
Mwaga asali -rom
Yasmini, uturi-machejo
Shubhaka la makhabati - kitandani chumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120] [emoji106] [emoji115][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] eshima yako mkuu. Maneno kuntu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamasi haizitokiHapo kwenye pua, vipi wale wengine wasiokua na pua?[emoji3][emoji3]
Hujajitambua we dogo
Basi ngoja niseme sawa malkia wangu kama jina la pweza limekukera! Japo nijuavyo pweza ni pweza tu kamwe hawezi kuwa msonobari labda awe nguvaHujajitambua we dogo
Njoo PM tuyajenge[emoji8] [emoji8] [emoji41]Basi ngoja niseme sawa malkia wangu kama jina la pweza limekukera! Japo nijuavyo pweza ni pweza tu kamwe hawezi kuwa msonobari labda awe nguva
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikautikie kasi kwanzaNjoo PM tuyajenge[emoji8] [emoji8] [emoji41]
Kwa picha hii siwezi kumla pweza!
[emoji3] [emoji3] kichwa ama mkia!Kwa picha hii siwezi kumla pweza!
Sent from my TV
Kichwa....huo mdomo unafanana na kitu[emoji12]
Wanasemaga vitu vyote vyenye sura mbaya ni vitamu ajabuKichwa....huo mdomo unafanana na kitu[emoji12]
Sent from my TV
Mmmmh nikikusikiliza wewe utaniongoa nile huo mdude....ila nasikia unaongeza nguvu!
Mtoto mzuri nakusubiri[emoji8] [emoji41]