Mwananchi digital my balls! Do your freaking job. search for informationMwananchi Digital ilipomtafuta Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Pius Lutumo kuthibitisha tukio hilo alisema hana taarifa kamili bado wanafuatilia.
NA WATAENDELEAAAA KUFAA KAMA INZIMwananchi digital my balls! Do your freaking job. search for information
RPC hakuwepo kama ambavyo wewe hukuwepo eneo la ajali. Kawaulize ambao RPC anakwenda na yeye kuwauliza.
Na RPC hatakwambia ukweli kama tatizo linahusisha uzembe wa serikali; kona kali zisozo na alama, kukosa taa za barabarani, dereva hana leseni, au kalewa , au kachoka, lori halina breaks au limezidi uzito na ukaguzi hamna,
Hata ambayo serikali haina lawama sana RPC huwa hawana muda wa ku delve deep into these issues. Hawana muda na maisha ya "manyani tu" wa nchi hii kwa saab ajira yake iko pale. pale
So do your damn job, mwandishi wa third world. RPC yeye ana tools gani za ziada za kupata taarifa, anawabinya ma#@%^$ majeruhi na mashuhuda ?
Hizo salam mtatuma sanaMay their souls rest in peace [emoji1317][emoji1319]
Kipande dume kileKile kipande sio kabisa..japo bdo kinafanyiwa maboresho lakini ukiovertake kizembe huna bahati..kuna malory mengi sana..anyway ndio mambo ya road..Mungu awaweke wanapostahili.
Simu ni kitambulisho pia. Kama hazijaharibikaUkute walitembea bila vitambulishe vyovyote sasa inachelewesha kuwatambua.
NA WATAENDELEAAAA KUFAA KAMA INZI
WATABAKIA KUSEMA RIP RIP TU
MAISHA YATAENDELEA HAKUNA ANAYEJALI
WATEGEMEEE VIFOOO ZAIDI
ova
Apo na bandari ya kwala haijaanza kufanya kazi,ikija kuunza Kama hawatapaweka vizuri,itakua balaaKile kipande sio kabisa..japo bdo kinafanyiwa maboresho lakini ukiovertake kizembe huna bahati..kuna malory mengi sana..anyway ndio mambo ya road..Mungu awaweke wanapostahili.