GE2025 Pwani: Wajumbe Kibaha wawakataa watia nia wa udiwani wakisema kuwa ni wazee

GE2025 Pwani: Wajumbe Kibaha wawakataa watia nia wa udiwani wakisema kuwa ni wazee

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Polisi tukamatien hao watueleze Nan kawaruhusu kuandamana
 
Wajumbe kutoka wilaya ya Kibaha mkoani Pwani wamesusia mkutano wakiwa na lengo la kuwakataa watia nia wa udiwani na kudai ya kuwa ni wazee. Tukio hilo limefanyika leo agosti 1, 2025 likionyesha wajumbe wakiwa barabarani wakitoa maneno ya kuwakataa watia nia wa udiwani.

Soma pia: CCM mlione hili na kulitolea uamuzi wa busara, Mchakato wa kuchuja watia nia Ubunge na Udiwani

View attachment 3427206
Chanzo: instagram -cj19
Kwa Nini wao vijana hawakugombea
 
Back
Top Bottom