Pwani, moro, dom, singida, tabora na shinyanga mko wapi?

Pwani, moro, dom, singida, tabora na shinyanga mko wapi?

heheh.......bora hata ningekuwa mwenyeji, sasa ivi nimepelekwa huku Pahi kama unapajua!

Pahi napajua nimefika mara mbili..angalia kuna wanga huko, najua uko kwenye Project!
 
Hapana bana, wanga watawangiana wenyewe kwa wenyewe......mie nimekuja kusalimia ndugu zangu!
 
Napafahamu..ni njia ya kuelekea Kiteto...Unafanya nini huko kwa Warangi au wewe Jooore/mwaare

Mkubwa ninamshukuru Mungu, kuijua nchi hii kwa maeneo mengi si haba, sijisifu bali ndivyo iko.
Geography ya Tz nimeizunguka sana, na si Tz tu na Kenya & Ug, na kupajua sehemu si lazima uwe mzawa wa pale, hata waliopo Mjengoni Dom now sio wote wagogo.
 
Back
Top Bottom