PVC vs ALUMINIUM Windows

PVC vs ALUMINIUM Windows

hao waturiki kampuni inaitwa BAUTEC,l miaka ya 2009 walikuwa wanatengeneza kiwanda cha aluminium na pvc kule vingunguti, sijui kama kimeanza kuoperate
 
UJENZI WA KISASA BALAA TUPU!...Kwa hela hiyo unajenga nyumba baadhi ya maeneo ya nchi hii
Loo itabidi nibadili michoro ya nyumba yangu nilitaka kuweka front elevation yote vioo na madirisha makubwa,sasa itabidi niweke madirisha ya mbao kama yale ya ikulu ni kama ''luvas ndogo'' nafikiri hata MwalJK Nyerere nae kaweka hayo madirisha ya mbao huko Nchachani
 
Nimeshawishika kununua pvc,nitabadili madirisha ya nyumba yangu this december.
Mkuu, tutafurahi kushirikishwa kwa picha pamoja na taarifa za uzoefu wako baada ya kufanya hivyo. Kila la heri...
 
Dirisha la kawaida lina sq. m angalau 3 kwa maana ya 1.5 X 2. Kwahiyo bei yao si mchezo!

Kwenye threads kama hizi ingependeza wale wanaofanya biashara hizo kuja kutangaza biashara zao, ila wabongo kama kawaida yetu tuko a bit slower kwenye kuchangamkia opportunities zilizotuzunguka.

Jamani naomba ushauri wenu ze marcopolo na wenzako. Nami hizi makitu pvc nilizipenda sana nilipoziona pale sabasaba kwenye maonyesho. Mi nimeshaweka madirisha mbao na nondo nimeweka kwenye mbao,sasa nikitaka kutengeneza vioo vya dizaini hiyo ni mpaka nibomoe madirisha yangu ya mbao? Asanteni
 
Mkuu, natarajia matofali yako utakuwa umesimamisha. That means kwamba mbao ya frame ya dirisha imecove sehemu kubwa kiasi kwamba hakuna sehumu ya kuweka hili dirisha tena. Itabidi utoe ya mbao kwanza. Vilevile kwa appearence haiwi vizuri kukiwa na mbao. Hata hivyo kwa uhakika zaidi jaribu kuwasiliana na hawa mafundi. Maybe wanaweza kubuni modificatio itakayopendeza...
 
Mkuu kama ulikuwepo,mbao zimecover dirisha zima. Kwa style hii wacha nistick kwenye dizain yangu ya awali picha niliona kwenye magazine fulani ya ulaya. Ila nimesikitika,thanks mkuu
 
Mkuu kama ulikuwepo,mbao zimecover dirisha zima. Kwa style hii wacha nistick kwenye dizain yangu ya awali picha niliona kwenye magazine fulani ya ulaya. Ila nimesikitika,thanks mkuu

Mkuu huna haja ya kuondoa mbao zako, fundi mzuri atakuwekea hiyo aluminium lakini kwa modification kidogo, wiki ijayo nitakuwekeeni picha jinsi nilivyofanya hapa kwangu.
 
BEI YA ALUMINIUM IFUTAVYO-
5ft x 5ft - 247,500/-
6ft x 6ft - 356,500/-
* FREE installation within DAR.
* Kio ayna yoyote 5mm.

(Hiyo bei ni mpaka March 2014)

Contacts-
0784 76 87 86
 
BEI YA ALUMINIUM IFUTAVYO-
5ft x 5ft - 247,500/-
6ft x 6ft - 356,500/-
* FREE installation within DAR.
* Kio ayna yoyote 5mm.

(Hiyo bei ni mpaka March 2014)

Contacts-
0784 76 87 86

Thank you.

Vipi kuhusu PVC?
 
Jamani, bei za PVC zimeshuka mwaka huu au bado ndio vile vile?.
Kuna waturuki nilienda kuwaona huku Kigamboni, sqm moja ni 250,000(maongezi yapo).
Dirisha la kawaida la chumbani ni 1.5*1.5=2.25sqm...hapa maana yake dirisha la pvc size hii ni tzs 562,000!
Imagine una madirisha 8=4,500,000
Sasa ukiwa na yale madirisha makubwa sebuleni ni balaa!
 
Jamani naombeni tuurejee huu uzi, vipi ni miaka karibu 10 sasa, je kuna mafanikio yoyote kwenye upungufu wa bei? Ningependa kujua pia kama mikoani huduma hii imefika
 
Pvc single glass ukipata kwa bei ya chini 220,000 sometimes 200,000 double glass ni 250000 mpaka 270000
Jamani naombeni tuurejee huu uzi, vipi ni miaka karibu 10 sasa, je kuna mafanikio yoyote kwenye upungufu wa bei? Ningependa kujua pia kama mikoani huduma hii imefika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom