Putin: We're Stronger Than Everybody

Putin: We're Stronger Than Everybody

Maswala

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
560
Reaction score
226
putin-5.jpeg

Russian President Vladimir Putin expressed his belief that Russia is the strongest nation, which will lead to - in his eyes - a positive end in Crimea, according to an interview with the state-owned TASS news agency.

During the interview, Putin stated that everything will "end well" in Crimea because "it's just that we're stronger [than] everybody."

"We're stronger," he said, "because we're right. When the Russian feels that he's right, he's unstoppable. I'm saying this sincerely, not just to pontificate," he added.

Right now, there is an ongoing conflict in the southern and eastern parts of Ukraine - areas that have had predominantly ethnic Russian populations since the days of the Soviet Union.

Back in March 2014, Russia annexed Crimea, which was previously a part of Ukraine. Since then, there has been conflict between the pro-Russian separatists and the Ukrainian government - most notably in the Luhansk and Donetsk regions.

Certain inhabitants of the region want to join Russia, while others want to remain in Ukraine.

But the Russian government has its own plan for Ukraine: "federalization."

"Each region [in Ukraine] would have control of its economy, taxes, culture, language, education, and 'external economic and cultural connections with neighboring countries or regions,'" Russia's foreign minister Sergei Lavrov has previously stated about the "federalization" plan, according to The Guardian.

This would give greater autonomy to the southern and eastern parts of Ukraine - where the conflict is currently going on. In simple terms, these regions would be directly associated with Russia, rather than with Ukraine.

Noted American political scientist Ian Bremmer recently stated that "the Kremlin is moving towards making Crimea and the Southeast Ukraine a single place" and "there's very little the Ukrainians can do" because their "military will remain badly outgunned, and the local populations in the region remain fairly anti-Kiev."

Although some people have expressed their beliefs that Putin is just winging it right now in Ukraine, Putin stated in the TASS interview that the current situation - including the actions in Crimea and afterwards - "is a strategic decision."

"I have developed a certain style over the years. I never make arbitrary decisions - the ones whose outcomes I cannot see," Putin said. "It's like when you're [driving] on the road: if you're not sure, don't pass [the car next to you]... You have to be absolutely clear that there's no upcoming traffic - that you're truly in control of the situation."

"Those who are trying to compete with us, are on the wrong side of the road. We're on the right side of the road, and we're on cruise control," Putin stated about the current situation.

Source:businessinsider

http://www.businessinsider.com/putin-strong-russia-right-danger-ukraine-2014-11

==============
Putin anadai hakamatiki na hakuna wa kumzuia maana yuko katika njia sahihi, isiyo na kuzuizi mbele yake! Msimamo wa mzito huu unauonaje?
​
 
mimi yangu macho tu maana huyu jamaa nae anayaweza ati !!
 
"because we're right. When the Russian feels that he's right, he's unstoppable. I'm saying this sincerely, not just to pontificate," he added.
 
Mbona huyu jamaa siku hizi anaongea sana?
 
hata naanza kuingiwa na mashaka na uwezo wa jamaa siku hizi, anaongea sanaa,
mi naona wanadhihirisha kua wanapitia kipindi kigumu katika vikwazo vya kiuchumi walivyowekew,
Washirika wake wa nguvu waliosalia wanazidi kuanguka, wanunuzi wa silaha zake nao wengine wameanza kumkimbia kina india huku pakistan mguu nje mguu ndani
Nguvu ya Uchina ambae anazidi kujiimarisha huku akijiweka neutral na pande zote mbili tofauti na zamani ambapo alikua akimsapoti jamaa waziwazi.
 
Mbona huyu jamaa siku hizi anaongea sana?

Ukiona hivyo ujue Maji yashafika Shingoni,anatapatapa kwa hiyo kilichobaki ni kuchonga sana ili aonekane bado yumo. Vikwazo vimemfikisha ukutani na muda si mrefu atapiga magoti kuomba yaishe. Wale pro Russia waliokuwa wanasema vikwazo si chochote wala lolote kwa Russia waje watuambie haya maneno mengi ya Putin yanaashiria nini.
 
Hakuna lolote hapa, Vikwazo vimewamaliza Ulaya, Huko France wakulima wanaandamna kila siku kisa hawana soko, Urusi, wako ngangari sana na Ulaya inaihitaji Russia kuliko Rusia inavyo ihitaji Ulaya.
 
hata naanza kuingiwa na mashaka na uwezo wa jamaa siku hizi, anaongea sanaa,
mi naona wanadhihirisha kua wanapitia kipindi kigumu katika vikwazo vya kiuchumi walivyowekew,
Washirika wake wa nguvu waliosalia wanazidi kuanguka, wanunuzi wa silaha zake nao wengine wameanza kumkimbia kina india huku pakistan mguu nje mguu ndani
Nguvu ya Uchina ambae anazidi kujiimarisha huku akijiweka neutral na pande zote mbili tofauti na zamani ambapo alikua akimsapoti jamaa waziwazi.

Kununua Siraha, kutoka nchi zingine ni jambo la kawaida, na hapo hakuna kitu, njooni na fact za kuonyesha kwamba anayumba,

China anamuhitaji Sana Urusi kwa mambo mengi sana ikiwemo Nishati na Ulinzi pia, Na Ushirika wa Urusi na India uko juu sana wana project za panoja niyingi sana zikiwemo za Makombora, ndege za kivita na kazalika, soma Mfumo wa Ulinzi wa India ndo utajua.
 
Mh urusi ambae sasa ndo ameamka anataka kuimarisha uhusiano na afrika kujitanua kirasilimali na kupata soko ameshachelewa. Huku ni CHINA vs AMERIKA & ULAYA na wanafyonza madini, gesi vote vinavyowafaa kwa matani ( Pembe zimeibwa kwa dege la raisi)
Maraisi wa marekani haweshi kupishana Leo huyu Huku na huyu kesho kule kuja kusain mkataba minono( mkataba mengine tunsaenda kusainishwa ulaya kwenye mahoteli makubwa_buzwagi)
Mbuga zetu zote tumewauzia familia ya kifalme UAE ( kiasi twiga, faru na wanyama wengine kusafirishwa kwa madege makuubwa).
Kilichomueka mrusi juu na kuwatesa ulaya ni gesi ambayo sasa STATOIL na wenziwe wanakomba vitalu vyote kwa fujo kila panapogunduliwa gesi. Ni suala la muda tuu ASSAD ataanguka na bomba ukubwa la gesi toka Iraq litavuka hadi TURKEY na kumuacha mrusi gesi yake ikimdodea.
Usisahau gesi Inayotoka kwa marehemu GADDAFI nayo inavushwa kwenda EUROPE tangu mwenyewe alivyorejea kwa muumba wake
 
Nafuu ya Russia/China. Bora waendeleze harakati za Kibabe tu kwani angalau wao wanaUTU. Huuma na kupuliza. sio Mabepari wa ulaya & west
 
hata naanza kuingiwa na mashaka na uwezo wa jamaa siku hizi, anaongea sanaa,
mi naona wanadhihirisha kua wanapitia kipindi kigumu katika vikwazo vya kiuchumi walivyowekew,
Washirika wake wa nguvu waliosalia wanazidi kuanguka, wanunuzi wa silaha zake nao wengine wameanza kumkimbia kina india huku pakistan mguu nje mguu ndani
Nguvu ya Uchina ambae anazidi kujiimarisha huku akijiweka neutral na pande zote mbili tofauti na zamani ambapo alikua akimsapoti jamaa waziwazi.

Mkuu, hivi vikwazo kwa nchi zilizokuwa za kijamaa ni kawaida na ndo zinazifanya ziwe strong zaidi. Unajua mwingereza namarekani na washirika wake walimtoa mchina kwenye soko la dunia na kui disvalue pesa yake muda mrefu sana? lakini unaona mambo ya mchina sasa hivi? Tatizo USA na washirika wanajua kutumia media zao vizuri kuudanganya ulimwengu lakini ki ualisia siyo hivyo.
Vikwazo hivyo kwa russia mkuu si ishu kabisa. Teck ya kivita na mambo ya nuke russia wako juu sana.
Kama unafatilia nafikiri ulisikia tukio la hivi karibuni ambapo ndege za kisasa za america zenye uwezo wa kubeba nuke zilivyozimiwa dashboard zao na ndege ya kawaida ya ki russia iliyokuwa haina silaha yoyote zaidi ya mfumo wa ki electonic...
 
Back
Top Bottom