Putin amewaweka wamarekani pabaya mno .wikileak huko kumekucha ,Wikipedia ya clintons hacked ,na ameshaanza kuweka majeshi Cuba .FBI wanasema machine za kura zinaonyesha dalili ya kuchezewa.Trump alikuwa rafiki mkubwa wa Ghaddafi na Putin .Aisee sikuwahi fikiria kunasiku mmarekani ataendeshwa mputa .Trump balaaaaaa na kazi ipo