Siku hizi waafrika tumeamua kufikisha ujumbe kwa viongozi wa kiafrika kupitia migongo ya watawala wa nje tunawapakaziaNimeenda google kutafuta na kusearch wee hio habari sijakuta kasoro blog moja ya Naija ndio imepost hio kitu
So ni fake 100%
Ungeikuta wapi ndio ingekuwa sio fake?Nimeenda google kutafuta na kusearch wee hio habari sijakuta kasoro blog moja ya Naija ndio imepost hio kitu
So ni fake 100%
Putin akiongea lazima media kama Russia tv na zingine za Russia na media za nje zilizopo urusi wange publish sasa hawaja publish sasa utaipa vipi authenticity ya habar hio..????Ungeikuta wapi ndio ingekuwa sio fake?
Hii ni fake news naona.Nimeenda google kutafuta na kusearch wee maneno yako hayo uliyopost na putin nimekosa
hio habari ipo kwenye blog moja ya Naija ndio imepost hio kitu basi na hakuna website yeyote iliyopost .
So ni fake 100%
Jibu swali media ipi ingekuwa sio fake?Putin akiongea lazima media kama Russia tv na zingine za Russia na media za nje zilizopo urusi wange publish sasa hawaja publish sasa utaipa vipi authenticity ya habar hio..????
Na kaburi lake lipo afrika?Hii ni fake news naona.
Putin ana interests kibao Africa
Kamuulize.Na kaburi lake lipo afrika?
Jibu linakatisha tamaa.Kamuulize.
BBCJibu swali media ipi ingekuwa sio fake?