Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,502
- 16,711
- Thread starter
- #21
Umedhamiria kutudanganya na kupindisha historia.Wewe unaota ndoto ukisukumwa zaidi na imani za kidini kuliko uhalisia. Wewe hujui kwamba nia ya kwanza kabisa ya dikteta Putin ilikuwa ni kuinyakua Ukraine yote ili apandikize kibaraka kama alivyofanya Belarus lakini uwezo ukawa mdogo ndipo akaenda kubana huko mashariki mwa Ukraine.
Chanzo cha vita vya Ukraine ni uroho na uchokozi wa NATO kutaka kuidhibiti Urusi.Wakamtumia Zelensky ambaye aliingia madarakani kupitia njama za chaguzi za kidemokrasia.
Urusi ilipoliona hilo ikataka kulisuluhisha kidiplomasia na iliposhindikana ikaamua kuingia vitani kujilinda na fitna za Zelensky.
Trump kuingilia kati sasa si lengo lakini maji yamemfika shingoni.