Putin na ubabe wa kitoto!!

Putin na ubabe wa kitoto!!

mkuu ni mkopo wa dola bilioni kumi na karibia ukraine anafikia kiwango cha kutoweza kukopa tena so hamna cha kujivunia wala kufurahia hapo.

Mkuu acha wapewe mkopo na IMF na Putin awape zen achukue cremia!!!
 
Mawazo Ujenzi ni kweli Putin ana wakati mgumu lakin nataka nikwambie tu sio kwasababu amekosea ila kwasababu anazidiwa nguvu na wakosaji wakubwa.
Ukiwa mfuatiliaji mzuri wa mambo alichofanya Russia ni kujilinda tu.. Kama alivyojilinda US Vietnam, Korea, Iraq, fuatilia documentary inaitwa "Why Intelligence fails" uone vita ya chini chini inayopiganwa na hawa wakuu wa dunia.
Kisheria unapoamua kuserrender part of ur territory to another state pasipo mabavu bas huna budi kuwapa nafas watu wanaoishi sehem ile kuridhia ikiwa wako radhi au la..!! Sasa Crimea haikua hivyo waliamishwa tu na Nikita Kruschev bila ridhaa.. Sasa ule uhamisho ni voidable kisheria yaan niseme unaweza ukapingwa kwa hoja za kisheria na Crimea ikabaki sehem ya Russia kutoka Ukraine.
Strategy ya white House ni kuzima nguvu ya Russia duniani ifikapo 2030 sijui kama ww unafaham hili sasa huwez kuizima Russia bila kuzishika nchi washirika wake wakuu kiuchumi na kisiasa.. ndo wakaanza kuiangusha serikali ya Ukraine skuiz wanaita "extrimism protest" kuna fungu kbsa CIA la kufadhili maandamo haya later hawa watu wanapewa silaha sasa ukiwadhibiti kwa silaha propaganda press za Western zipo pale zinasema umewaua peacefull demonstrators kinachofuata ni kutolewa kwa nguvu au vikwazo ndicho kinacho fuata venezuela nw.. Putin anapigana vita ya chini chini ambayo only Kremlin, EU na White House ndio wanajua exactly mapana yake na maane yake. Usimlaumu sana putin yuko pale kuiokoa Russia against Wetern soon to come Domination..!!
 
Shukuran Sana mkuu wa udadavuzi wa kiakili na wa kisomi!! Ni kweli even me najua kabisa kwamba,Us na Eu ndo walipandikiza watu waandamane ili kuitoa serikali ya Ukraine madarakani!! Na walifanikia but after Putin kushituka akapeleka jeshi!!
Putin yuko sahihi kabisa kuilinda Kremlin,but hapupaswa kupeleka jeshi pale!! Maana najua yeye alizan NATO and us wangepeleka majeshi pia,wakati us wanajua mziki Wa Russia ni mzito kuucheza!!
Kwa hiyo ndug mosad007:Mimi namlaum putin kupeleka majeshi yake tu!!
 
Nashangaa watu wanaoona marekani itanywea kwa Urusi,kisa tu Urusi ina mafuta na silaha,
kama Urusi inajiweza mbona imewekewa vikwazo kwanini yenyewe isitangaze kuwawekea vikwazo wengine?
 
Leo wakati naangalia BBC nilicheka Sana!!!
Kwamba Rais Putin wa urusi kampigia simu Kiranja wa dunia mkuu wa taifa kubwa lenye nguvu,kivita,kiuchumi na fitina Marekani, wengine hupenda kuliita USA,US au America!!
Bwana Putin kamuomba kiranja wa dunia wakae kitako,watete kuhusu mgogoro wa Yukireini, au Ukraine!!!
Warusi wanalitaka jimbo la cremia ambalo ni mali ya Ukraine,marekani na umoja wa ulaya hawataki jimbo hili liende kwa Putin!! Sababu mimi sijui!!
Sasa hv kiranja wa dunia yuko Saudi Arabia, anaomba wauze mafuta kwa marekani na marekani atawalinda kijeshi saudi Arabia!! Nani asiyekubali ulinzi?? Kama unataka kujua utamu wa ulinzi muulize baba rizi!!
Na wataalam wa masuala ya mafuta wanasema baada ya miaka miwili,kiranja wa dunia ndo ataongoza kwa wingi wa mafuta!! Kayatoa wapi mimi sijui, Si Putin au Saudi Arabia tena!!
Sasa wewe Putin kaa na mibomu yako,wenzako wanatumia akili kukutawala,kama wewe ni kidume kweli,tena mbishi kama Saddam Hussein au Gadaff mbona umenyanyua waya kumcall mkulu wa marekani??
Acha ubabe wa kijinga!! Wenye nguvu Waite power!!!
Putin ondoa wanajeshi wako Ukraine!!!
obama ndo alikua anampigia sana putin na hii ni mara ya kwanza putin tangu mgogoro uanze.

Pia marekani hawategemei tena mafuta ya uarabuni,wao wenyewe wana deposit kubwa sana ya mafuta,na pia wanachukulia mafuta venezuela juu ya ukaribu wake na marekani.
 
urusi haiwezi kuiwekea vikwazo marekani kwani hawakua wameingiliana sana kibiashara kwahiyo asset kwa kila upande ni ndogo sana japo matajiri wa urusi wenye account marekani waliwahi kuhamisha pesa.Hata zile hela za urusi bilion 165 dola zilizokua katika bond warusi walihamishia katika account ya siri.

Tangu jana warusi wanafanya mazoezi ya kuandaa makombora yao ya nuclear ikiwa kama message kwa marekani kuwa wakae mbali.
Japo pia urusi inaweza kuwawekea vikwazo baadhi ya nchi za ulaya kama ujerumani kwa kuwakatia gesi.
 
Mkuu acha wapewe mkopo na IMF na Putin awape zen achukue cremia!!!

hujui njama za marekani wewe sio kwamba ana mapenzi ya kweli na watu wa crimea bali lengo kuu ni kumweaken mrusi na pia kufaidika na gesi ya urusi nothing else so mrusi nae ana haki ya kupigania na kulinda interest zake,so katika hali kama hiyo sidhani kama unaweza kumlaumu mrusi kila nchi ingefanya hivyo hivyo.kuna makala nilishawahi kuweka hapa nilielezea kwanini urusi ana haki ya kuitetea crimea natumia simu sasa niifika kwenye computer nitakuwekea link
 
Leo wakati naangalia BBC nilicheka Sana!!!
Kwamba Rais Putin wa urusi kampigia simu Kiranja wa dunia mkuu wa taifa kubwa lenye nguvu,kivita,kiuchumi na fitina Marekani, wengine hupenda kuliita USA,US au America!!
Bwana Putin kamuomba kiranja wa dunia wakae kitako,watete kuhusu mgogoro wa Yukireini, au Ukraine!!!
Warusi wanalitaka jimbo la cremia ambalo ni mali ya Ukraine,marekani na umoja wa ulaya hawataki jimbo hili liende kwa Putin!! Sababu mimi sijui!!
Sasa hv kiranja wa dunia yuko Saudi Arabia, anaomba wauze mafuta kwa marekani na marekani atawalinda kijeshi saudi Arabia!! Nani asiyekubali ulinzi?? Kama unataka kujua utamu wa ulinzi muulize baba rizi!!
Na wataalam wa masuala ya mafuta wanasema baada ya miaka miwili,kiranja wa dunia ndo ataongoza kwa wingi wa mafuta!! Kayatoa wapi mimi sijui, Si Putin au Saudi Arabia tena!!
Sasa wewe Putin kaa na mibomu yako,wenzako wanatumia akili kukutawala,kama wewe ni kidume kweli,tena mbishi kama Saddam Hussein au Gadaff mbona umenyanyua waya kumcall mkulu wa marekani??
Acha ubabe wa kijinga!! Wenye nguvu Waite power!!!
Putin ondoa wanajeshi wako Ukraine!!!

Umepotea step. Hiyo ni danganya toto. Subiri uone kama kuna mabadiliko yatatokea. Zile siraha za Ukraine ameziteka azikague ili ajue technologia iliyotumika, na sasa kazirudisha.
Putinhawezekaniki mkuu.
 
obama ndo alikua anampigia sana putin na hii ni mara ya kwanza putin tangu mgogoro uanze.

Pia marekani hawategemei tena mafuta ya uarabuni,wao wenyewe wana deposit kubwa sana ya mafuta,na pia wanachukulia mafuta venezuela juu ya ukaribu wake na marekani.

Sawa nakubaliana nawe katika baadhi ya Sentensi zako.

Lakini wadhani ni kwanini hoyo Obama alikitaka bado kutukua mafuta ya Uarabuni...?
 
Kuna mtu kasema kagame ni Putin au putin ni kagame?? Bingilika vizuri
Ana maanisha kuwa Putin si mtu wa kutishwa na yeyote.tembo na ukubwa wake wote na anajua anweza kumuua simba lakini hautafuti ugomvi na simba!
 
Wadau kuhusu ishu ya urusi , angalieni you tube. Topic Rusia Islam and cremea
 
Back
Top Bottom