Putin na ubabe wa kitoto!!

Putin na ubabe wa kitoto!!

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,404
Reaction score
3,061
Leo wakati naangalia BBC nilicheka Sana!!!
Kwamba Rais Putin wa urusi kampigia simu Kiranja wa dunia mkuu wa taifa kubwa lenye nguvu,kivita,kiuchumi na fitina Marekani, wengine hupenda kuliita USA,US au America!!
Bwana Putin kamuomba kiranja wa dunia wakae kitako,watete kuhusu mgogoro wa Yukireini, au Ukraine!!!
Warusi wanalitaka jimbo la cremia ambalo ni mali ya Ukraine,marekani na umoja wa ulaya hawataki jimbo hili liende kwa Putin!! Sababu mimi sijui!!
Sasa hv kiranja wa dunia yuko Saudi Arabia, anaomba wauze mafuta kwa marekani na marekani atawalinda kijeshi saudi Arabia!! Nani asiyekubali ulinzi?? Kama unataka kujua utamu wa ulinzi muulize baba rizi!!
Na wataalam wa masuala ya mafuta wanasema baada ya miaka miwili,kiranja wa dunia ndo ataongoza kwa wingi wa mafuta!! Kayatoa wapi mimi sijui, Si Putin au Saudi Arabia tena!!
Sasa wewe Putin kaa na mibomu yako,wenzako wanatumia akili kukutawala,kama wewe ni kidume kweli,tena mbishi kama Saddam Hussein au Gadaff mbona umenyanyua waya kumcall mkulu wa marekani??
Acha ubabe wa kijinga!! Wenye nguvu Waite power!!!
Putin ondoa wanajeshi wako Ukraine!!!
 
History repeat itself,kwa wanaofuatilia issues wanajua sababu mojawapo kubwa ya kuanguka USSR ilikuwa ni oil price/gas,mwarabu akifugulia bomba zake Putin imekula kwake na ndio kitakacho tokea
 
Nasikia Putin anapitia hapa JF. Atakuwa ameiona hii thread.
 
Kuna mtu kasema kagame ni Putin au putin ni kagame?? Bingilika vizuri
Unamuongelea kama vile yeye ni banana tycoon, wakati alitaka kuwapa Ukraine dola bioni 15, bajeti ya tz mara moja na nusu kama bailout.
Ingekuwa mfalme wa rubisi sawa, huyo mtasha chizi. We shobekea jaluo kwa sababu labda nanihilu./
 
hii ulioandika hapa ni umbea tu nakushauri usiegemee sana kuangalia news za western media utajazwa propaganda ambayo matokeo yake ndiyo kama huu uharo.
 
Putin is on the losing side, full stop. He is busy investing in an empty victory.
 
hii ulioandika hapa ni umbea tu nakushauri usiegemee sana kuangalia news za western media utajazwa propaganda ambayo matokeo yake ndiyo kama huu uharo.

Usipende kutukana watu!! Njoo na hoja mtambuka!! Uharo unaujua kweli au viroba vishaanza kujaa kichwani?
Hakuna cha propaganda wala nini ameshikwa pabaya!!!
 
Unamuongelea kama vile yeye ni banana tycoon, wakati alitaka kuwapa Ukraine dola bioni 15, bajeti ya tz mara moja na nusu kama bailout.
Ingekuwa mfalme wa rubisi sawa, huyo mtasha chizi. We shobekea jaluo kwa sababu labda nanihilu./

Hyo hela kaitoa sasa?? Mbona USA,IMF na EU wanatoa?? Mbona yeye kashindwa??
Hilo unalosema wewe anza na nchi yako kwanza!! Kama viongozi wako wanapiga vita,waambie wasichukue GRANTS toka kwa hao jamaa!!!
 
hii ulioandika hapa ni umbea tu nakushauri usiegemee sana kuangalia news za western media utajazwa propaganda ambayo matokeo yake ndiyo kama huu uharo.

Awe anaangalia media zipi?hujampa suluhisho awe anaangalia media zipi,za west umemkataza,je aangalie za upande gani?
 
Hyo hela kaitoa sasa?? Mbona USA,IMF na EU wanatoa?? Mbona yeye kashindwa??
Hilo unalosema wewe anza na nchi yako kwanza!! Kama viongozi wako wanapiga vita,waambie wasichukue GRANTS toka kwa hao jamaa!!!
Utatoaje msaada kwa serikali isiyo halali?
IMF kama kawaida yao wametoa package ... EU wameanza kulaani radicals ambao wengi ndiyo walikuwa Uwanjani, Putin kaipata Crimea which guarantees him a share of the black sea.
We piga kelele tu, wenzako wanapeta.
 
Usiwe mvivu,IMF wanatoa mpunga kwa Ukraine,huyo Putin wako kashaanza kuomba poo, adui mwombee njoo!!!
 
Back
Top Bottom