Putin: Mlima umezaa panya

Mtyela Kasanda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
554
Reaction score
819
Putin akizungumzia ripoti ya uchunguzi ya Robert Mueller amesema serikali yake haikuingilia uchaguzi wa Marekani. " ilikua ni dhahiri kwetu toka mwanzo kwamba matokeo yatakua hivi". Mueller alikua anachunguza ushawishi wa Russia katika ushindi wa raisi Trump. Matokeo ya uchunguzi huo yalikamilika mwishoni mwa mwezi wa tatu. Katika hali ya kudhihaki uchunguzi huo Putin alisema kazi kubwa iliotiliwa maana imetoa matokeo kidogo tofauti na matarajio ya wengi walioamini Russia ilihusika. Robert Mueller alikua mkurugenzi wa FBI ( FBI director) kuanzia 2001 mpaka 2013.
 
Mueller ni jina la kijerumani lakin

Likiandikwa Mueller linakuwa limeandikwa kifaransa, kijeruman ni Müller,
Jina hili linatokana na Miller (msaga unga au anae opparate mashine ya kuzaga nafaka). So kila nchi inatumia jina hili but kwa lugha sahii ya nchi husika such as

English-Miller
France-Mueller
kwa marekani mtu wa kwanza kuitwa mueller alikuwa Jacob Mueller, aliye amia huko kutokea ulaya mwaka1709
takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2014 asilimia kubwa ya jina hili ni nchi tatu
Ujeruman asilimia 88
Switzerland asilimia 6,8
Austria asilimia 2.7
 
Hahahahah...Mchezo waliucheza Mossad msala wakapewa Warusi.
Haleluya Mossad ,shirika hili ni Hatari sana kwa ujasusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah...Mchezo waliucheza Mossad msala wakapewa Warusi.
Haleluya Mossad ,shirika hili ni Hatari sana kwa ujasusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka

weka ushahidi. Sio kuweka mtazamo wako tu. Purely Exaggerate
 
Wayahudi kama mm ndio tunatawala dunia, US na Russia yote ni wayahudi ndio tunatawala kiuchumi, kisayansi na kiteknolojia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…