britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,287
- 49,230
Can you cite a vivid example of this case!?Huyu jamaa wapinzani wake anawafunga jela na kuwapandikizia HIV
Are you able on backing up your story with clean reference!?Warusi wengi kwa sasa wanamchukia Putin na hasa tabia yake ya kuua upinzani kwa kuwapoteza wapinzani wake popote walipo...Amefanya uchaguzi kama wa Tanzania tuu au Rwanda mshindi anajulikana...
Waingereza wamempigia kampeni wenyewe...baada ya kusingizia warusi unyama. UK baada ya kugundua wamekosea mbinu yao ya kipuuzi wakaanza kusema hoo sisi hatuna shida na raia wz russia bali viongozi walioko 'Klemlin'. It was too late....warusi walikuwa wameisha gundua hila na wameAMua kumuunga mkono Putin.Putin hajaiba kura, kaua competition tuu, wapinzani wengi wame uawa au kubambikiwa kesi na kuto zuiliwa kugombea. Kwa hiyo wapinzani waliokuepo leo ni vihiyo tuu.
Halaf Putin sio kwamba anachukiwa kama mnavo ambiwa na vyombo vya magharibi. Wapo watu wengi tuu Urusi wana mpenda.
Angalia video hii vizuri uone Putin anavyoiba kuraPutin hajaiba kura, kaua competition tuu, wapinzani wengi wame uawa au kubambikiwa kesi na kuto zuiliwa kugombea. Kwa hiyo wapinzani waliokuepo leo ni vihiyo tuu.
Halaf Putin sio kwamba anachukiwa kama mnavo ambiwa na vyombo vya magharibi. Wapo watu wengi tuu Urusi wana mpenda.
Goli la mkono ccm wamejifunza China ndio maana ccm wanawapa kila kitu wachina. Hao ndio wanaowapa mbinu za kufunga kama Maradona.
What?Huyu jamaa wapinzani wake anawafunga jela na kuwapandikizia HIV
Exiled oligarch Mikhail Khodorkovsky: I have no obligations to PutinCan you cite a vivid example of this case!?
Mbona upo na Putin na vitu vipo wazi kabisa...uliona wapi na Nchi gani Rais anamaliza kipindi harafu anakua waziri mkuu uchaguzi unaofata anagombea tena yeye anashinda kipindi alipokua Waziri Mkuu ndie alikua na nguvu katika maamuzi ya Sera za Nje na ndani hata viongozi wa Nje walikua wanamuona hasa yeye yule Rais alikua kama picha tuu...Putin hawezi kuachia madaraka ataendelea kufanya ujanja ujanja sana maana wapinzani wake wengi wapo Nje ya Nchi na wana nguvu kifedha na ushawishi Sera anayotumia ya kuwapoteza itamsaidia ingawaje ni ya kizamani..Are you able on backing up your story with clean reference!?
Putin hajaiba kura, kaua competition tuu, wapinzani wengi wame uawa au kubambikiwa kesi na kuto zuiliwa kugombea. Kwa hiyo wapinzani waliokuepo leo ni vihiyo tuu.
Halaf Putin sio kwamba anachukiwa kama mnavo ambiwa na vyombo vya magharibi. Wapo watu wengi tuu Urusi wana mpenda.