Putin kafumua mshono tena

Machizi wenzako watakuamini!!!!! Umepata faida gani baada ya kudanganya?????????????????? Au ndiyo tuna wasomi wajinga??????????????


Your browser is not able to display this video.

How tons of ammonium nitrate were stranded in Beirut port ...​



5 Aug 2020 β€” Tuesday's massive explosion, which rocked the capital, left at least 135 dead and 5,000 injured. On Wednesday, Lebanese Information Minister ...

CNN.com/05 Aug/ 2020

How a Massive Bomb Came Together in Beirut's Port​


9 Sept 2020 β€” An initial explosion sends a smoky mix of partially combusted ammonium nitrate into the sky, an inefficient blast that suggests β€œthat it ...


The New York Times:09 /Sept/ 2020


Nb: Tujifunze kudadisi!!!!!!!!!!!!!

Nb:Tukumbuke, Wajinga wanamiliki hela, simu,magari, nyumba,kompyuta n.k!!!!!!!!!!!!!
 
UONGO MKUBWA HII VIDEO NI YA BEIRUT PALE BANDARINI KWAO BAADA YA KUTUNZA KEMIKALI YA MBOLEA VIBAYA
 
Sidhani!!! Hili ni tukio la Lebanon, wakati ghala la mbolea lilipo lipuka
 
Hawa watu sijui ni ujinga au ukosefu wa akili na maarifa au ni kujiyoa ufahamu.

Yaani ajali imetokea Beirut, jitu zima linaamua kuwadanganya watu likijua watu hawana maarifa.

Mods ondoeni hii thread kwa sababu ni uwongo uliotengenezwa na mtu mmoja ambaye hastahili kuwemo JF. Na ikiwezekana mpeni adhabu ili kupeleka ujumbe kuwa JF siyo mahali pa kufanyia umbea.
 
Mnaanza kuokoteza video za Beirut.
Yaani hata kinachoongelewa kwenye hiyo video haukielewi. Kweli kazi mnayo.

Hata silaha zinavyosafirishwa na kuingizwa Ukraine haujui zinasafirishwaje.
 
Hizi Putin anajua kwamba hatuna mafuta huku yamepanda bei
 
Hiyo bandari ingekuwa wamepewa DP World sijui mambo yangekuwa vipi.
 
Yaani hii thread bado ipo pamoja na kuwa proved wrong na aliyeileta bado yupo hai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…