Wengine hatujawahi shuhudia weldwoo ..ijee bc hyo ww3maybe he is talking about venezuela,or he could be talking about ukraine,there have been a lot of activities in east ukraine recentry,suggesting that moscow could be planning to take ukraine once US take venezuela,seeing how the US have been claiming that venezuela is in their backyard,so moscow ready to claim Ukraine is in their frontyard
Mkuu huoni USA akiweka silaha huko Europe atakuwa amewatoa kafara wenzake make itabidi Russia kama ambavyo alishawahi kusema kabla hajashambulia USA atahakikisha Europe na middle east panabaki majivuMrusi ana wasi kuwa Mmaerkani anaweza kuweka silaha Ulaya karibu na kwake baada ya Ile army treat ya INF kuelekea kuvunjika.
Nani amekwambia shida zinazoeleka mkuu?.Fact ni kwamba Russia hawapendi kuwa kwenye depression kila kukicha hata kidogo,tatizo hakuna akili ya kuwatoa hapo walipo,Maana akili iliyoyopo inawaza military might 24/7.Hakuna nguvu muhimu kama nguvu ya uchumi asikudanganye mtu,you can do what ever you want.Uzuri Mrusi kashaonja economic depression nyingi kwake liwalo na liwe, wakati USA depression kubwa zaidi kumpata wakamuabudu aliyewatoa kwa kumruhusu awatawale miaka 12 tofauti na katiba yao!..
Kudeal na mrusi yahitaji akili zaidi ya kudeal na european nations ukimtoa germany na UK.
Mkuu huoni USA akiweka silaha huko Europe atakuwa amewatoa kafara wenzake make itabidi Russia kama ambavyo alishawahi kusema kabla hajashambulia USA atahakikisha Europe na middle east panabaki majivu
Putin kila siku!! OkayUkiona mtu kila siku anatoa vitisho ujue mwoga uyo! Maana kila siku ni Puttin ndiye analalamika na kupiga mikwara kibao wakati wenzake wako kimya wakifanya research na kuandaa mbinu za kukuza Uchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kawaeleza kuwa...nchi yoyote itakayopokea silaha za kuitisha Russia, si nchi hiyo tu itakayodhuriwa na 'majibu' ya Russia bali hata command centres za nchi iliyohusika kupeleka silaha hizo karibu na Russia.Mkuu huoni USA akiweka silaha huko Europe atakuwa amewatoa kafara wenzake make itabidi Russia kama ambavyo alishawahi kusema kabla hajashambulia USA atahakikisha Europe na middle east panabaki majivu
Hana wasi wasi bali ametoa angalizo ili mkija kupigwa msije kusema Kuwa anawaoneaSi walianza wao kukiuka kanuni za INF?.Sasa wasiwasi wake nini?
Duh !!!,Russia safi sanaUnajua kawaeleza kuwa...nchi yoyote itakayopokea silaha za kuitisha Russia, si nchi hiyo tu itakayodhuriwa na 'majibu' ya Russia bali hata command centres za nchi iliyohusika kupeleka silaha hizo karibu na Russia.
Japo hapo mfaidikaj zaid naona ni US manake sass Ukrain kuna nini palemaybe he is talking about venezuela,or he could be talking about ukraine,there have been a lot of activities in east ukraine recentry,suggesting that moscow could be planning to take ukraine once US take venezuela,seeing how the US have been claiming that venezuela is in their backyard,so moscow ready to claim Ukraine is in their frontyard