Putin -Double ndiye ameonana na Trump?

Putin -Double ndiye ameonana na Trump?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,551
Reaction score
28,502
1755331123186.png

Wakuu hapa JF, Great Thinkers, Putin aliyeonana na Trump jana huko Alaska ni Putin halisi au muigizaji.
Putin ni kiboko!
 
Huu mchezo WA body double niliustukia mapema sn tangu niliposkia ile press ya ikulu.

Kua wataenda kwenye mazungumzo alaska na wataambatana na translator (mkalimani) na watatumia lugha ya nyumbani kwenye mazungumzo ya amani.

Nikawaza🤔
Yanini kutumia kurusi wakt Putin mwenyewe anajua kuongea na kukiandika kingereza vizuri sana

LEO NDO NMEPATA JIBU
 
Putin anajua lugha nyingi hila hataki kuongea hata english anaijua vizuri tu hila anataka kuongea tu lugha yake nnakumbuka kuna siku mkalimani alitafsiri kutoka ki russia alivyo translate to english puttin akamwambia mkalimani hakumaanisha hvyo inamaana anafanya kusudi
 
You've to be proud with you only you and none else. Wabongo tuko proud mno kutaka kuonekana Kama mzungu ama kwenda kwa wazungu anaona ni Kama ametoboa.
I wish hata kisukuma kiwe lugha ya Taifa Halafu kiswahili kiendelee kuwa lugha ya kimataifa
 
Back
Top Bottom