Putin bans Rothchild family from entering Russian territory

putin na marekani ni wale wale tu na wanashare the same purpose hivyo maneno yote hayo ni kuwin trust for their own advantage......n.w.o ni ngumu kuzuia
Ukizingatia putin mwenyewe kiasili inasemekana ni myahudi kilichokuwa kinasumbua kumjumuisha ktk familia hiyo pamoja na ile Rockfeller uumini wake wa kanisa la Othodox....ikumbukwe mpinzania mkuu wa jewish faith ni wa Othodox....kanisa hili lina nguvu sana Urusi...kama ni kweli basi the new world order iko jirani sana...
 
ni sawa na ile movies ya kikorea ya iris,kumbe si kitu ni mfumo wa watu tu.
 
upload_2017-10-16_14-10-11.jpeg
 
Ukizingatia putin mwenyewe kiasili inasemekana ni myahudi kilichokuwa kinasumbua kumjumuisha ktk familia hiyo pamoja na ile Rockfeller uumini wake wa kanisa la Othodox....ikumbukwe mpinzania mkuu wa jewish faith ni wa Othodox....kanisa hili lina nguvu sana Urusi...kama ni kweli basi the new world order iko jirani sana...
Twende katika lugha ya kihisabati. Orthodox ni kanisa dada na kanisa la rumi. So Orthodox is equivalent to Catholic Church. Jewish faith is a daughter of Catholics hence they're similar. So Orthodox = Jewish but < catholics.
 
Putin ni well experienced Kachero anajua anachokifanya.
Mwisho wa capitalism karibu sana.
 
Back
Top Bottom