Putin atoa hotuba nzito leo Moscow

Putin atoa hotuba nzito leo Moscow

Hii hotuba ni ya Putin kweli? Mbona haina content?

Madikiteta wanakuwaga na vichwa akili zao wanazijua wenyewe.....kwao nguvu tu ndio kubwa kuliko akili.

Anaongelea matatizo ya Nchi nyingine isiyomhusu? Malalamiko ya nini sasa? Anatafuta huruma? Kwani nani kamuulize hayo?
We ulitaka asemeje?
 
Muda wote anaongelea Ukraine kwani huko Russia hakuna matatizo?
Na wewe kwa nini unacomment kwa uzi wa mambo ya Ukraine na Putin kwani hakuna nyuzi nyingine kibao zinazozungumzia matatizo na mambo ya TZ na Afrika???
 
Russia na Ukraine ni ndugu wa damu kabisa wakiwa na dini na utamaduni mmoja ila kuna watu kutoka magharibi walikuja kuwachonganisha kwa manufaa ya kuuza silaha , mafuta na gesi , lakini mpango huo sasa umeanza kubuma ,Hali ya upepo wa kisiasa na kiuchumi magharibi umebadilika .

Na hii vita ya mashariki ya Kati ndiyo imebadilisha mahesabu kabisa .

Jambo la kusikitisha watu karibia 10000 wamekufa kwa sababu zilizoweza kuepukika kwa vita kutokuwepo .
 
Zilipendwa
 
Sasa bana Putin tukusaidie je?

Maana mengi ya uliyosema hapa ni kama unalalamika.

Jeshi lako la kukodi la Wegner lilikusitiri madhaifu yako ila kosa lako umemuua mkuu wao aliyekuwa mshirika wako wa karibu katika uhalifu wa kivita.

Sasa hivi mamluki wa Wagner hawakuamini tena na ukizingatia kuwa magenerali wako wanayowaza vichwani mwao kukuhusu juu ya vita vya Ukraine ni siri nzito.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una za Ndani kuliko Putin mwenye na KGB.
 
Sasa bana Putin tukusaidie je?

Maana mengi ya uliyosema hapa ni kama unalalamika.

Jeshi lako la kukodi la Wegner lilikusitiri madhaifu yako ila kosa lako umemuua mkuu wao aliyekuwa mshirika wako wa karibu katika uhalifu wa kivita.

Sasa hivi mamluki wa Wagner hawakuamini tena na ukizingatia kuwa magenerali wako wanayowaza vichwani mwao kukuhusu juu ya vita vya Ukraine ni siri nzito.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siri nzito ambayo Putin haijui, ila wewe mmarekani na Kasulu unaijua?

Back
Top Bottom