SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,117
- 8,094
Katika hotuba hiyo aliyoitoa leo alipokutana na members of the public chamber of Russia, Mr. Putin alisema mazito yafuatayo;
1. Taifa la Ukraine liliasisiwa kutokana sheria za iliyokuwa USSR, ambapo ilikuwa ni sehemu ya kusini ya ardhi ya Urusi.
2. Serikali ya Ukraine ilikuwa inafanya mauaji ya kukusudia dhidi raia wake wenyewe wenye asili ya urusi waishio katika majimbo ya Crimea, Donbass, na Novorossiya kwa muda mrefu ili kuwafurshisha mabwana zao wa Magharibi.
3.Jambo lililopelekea Urusi kuivamia ili kuyakomboa maeneo hayo.
4 . Serikali ya Zelensky imekuwa ikiuza kimagendo silaha za misaada kutoka mataifa ya magharibi kwa nchi za Mashariki ya Kati, ikiwemo kikundi cha kigadi cha Taliban kinacholiongoza taifa la Afghanistan kwa sasa.
5. Rushwa ni tatizo kubwa mno lililokithiri Ukraine kiasi cha kufikia hataua ya kuonekana kuhalaishwa na Serikali ya Zelensky, jambo ambalo hata Nchi za magharibi zinalijiua lakini hawawezi hata wao hawana uwezo wa kulitatua. Hali hiyo imepelekea Marekani kusuka mpango wa kufikiria kubadilisha utawala wa Ukraine.
6. Mwisho kabisa, Putin alisema, (naomba nimnukuu kama ifuatavyo);
"The West used to want to "defeat Russia on the battlefield", but now they are talking differently."

.
Chanzo: Reuters, Al Jazeera

.Chanzo: Reuters, Al Jazeera