Ni muhimu sana kwanza Hamasi yenye serikali yake Ghaza,Kwa hiyo ulitegemea kauli gani kutoka Kwa Putin tofauti na hiyo?
Ulitegemea Putin aungane na mataifa ya magharibi kulaani mashambulizi ya hamas.,sio?
Maazimio kibao yamejaa UN na kila mmoja anayajua na wanajua Israel hajawahi kuyatekeleza.Wapalestina wasubiri mpaka lini ili maazimio hayo yatekelezwe.Putin yuko sahihi 2 states solution ndio njia ya kumaliza haya mauaji, sio kuwafungia wapalestina kama mbuzi, hawawezi kubali kila siku
Hujuhi hata kiingereza we binti, alafu unakimbilia kuja kuanzisha thread pumb....fuMakundi mengi zaidi kote ulimwenguni yametokea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ili warudi kwenye makazi yao.Hali hiyo inaonesha kama kwamba mashambulio ya Hamas yameleta athari kubwa katika kuelezea madhila ya taifa lao.
Katika ufuatiliaji wa maoni kwenye mitandao ya kijamii imeonekana pia kuwa idadi kubwa ya wachina wameyaona mashambulizi ya Hamas kwa kushtukiza ndani ya mipaka ya Israel ni aina ya ushujaa wa kundi hilo.
Rubani mmoja wa Air Canada amesimamishwa kuruka kutokana na kuilaani Israel wazi wazi akiwa kazini.
Kati ya wote wanaoonekana kuwaunga mkono Hamas na kuelewa wanachopigania ni raisi Putin wa Urusi ambaye amesema ni wakati sasa kwa Palestina kupatiwa taifa lao. Hayo aliyasema alipokuwa akizungumza na mshirika wake,raisi Erdogan wa Uturuki.
Katika mazungumzo hayo Putin alisema kilichotokea majuzi na kilichoipata Israel ni matokeo ya siasa mbovu za Marekani katika eneo la mashariki ya kati.
Leo hii Waisrael ndio wamefungiwa ., sio kuwafungia wapalestina kama mbuzi,
Aoneshe kwa vitendo kauli yake kwa kuondoa majeshi yake ukraine, otherwise hawezi kueleweka.Kwa hiyo ulitegemea kauli gani kutoka Kwa Putin tofauti na hiyo?
Ulitegemea Putin aungane na mataifa ya magharibi kulaani mashambulizi ya hamas.,sio?
Kama watamani iwe hivyo, yeye hana uhakikahuu muda ndio atautumia kummaliza Zelensky aliyekwisha achwa na washirika wake.
Na zile silaha mnazompelekea zelensky wahuni wanapitisha kimagendo kwenda kwa magaidiKama watamani iwe hivyo, yeye hana uhakika