Putin aridhia kuinga mkono Iran

Mimi sio kobazi Mimi Rc pure.

But Hakuna Israel bila marekani labda uwe mjinga tu ndo utaamini hilo
Kweli kabisa Israel haina cha kupoteza ndio maana imealeta vurugu nyingi Mashariki ya Kati kwa sababu gharana za vita analipa Marekani. Israel kama Israel haiwezi kusimama yenyewe kwenye hii migogoro. Marekani wanatoa silaha za kila aina, wanatoa intelligence, wanailinda Israel, wanatoa msaada wa kiuchumi ndio maana Israel inakuwa na kiburi kiasi hiki. Hakuna taifa duniani linapokea misaada kama Israel. Wengi wanaleta ushabiki na itikadi za kiimani kuwa Israel ni taifa teule, eti Israel imezungukwa na maadui bila kufikiri kuwa Mataifa yote ya kiarabu ni vibaraka wa Marekani na yanatekeleza maslahi ya Marekani na Israel.
 
Marekan anajipendekeza tu, kwani kalazimishwa?

Hata hivyo, walioniaminisha kuhusu uwezo wa Iran walisema pia, Irani inaweza kuichapa USA bila tabu, ngoja tuone
Mimi kwenye vita sinaga ushabiki mkuu.

Naamini vita ni mbaya na haifai.

Inaeleweka wazi USA ndo world super powe kiuchumi na hata kijeshi Sasa kama ulikubali kudanganywa huku kikwete alikwisha kusema za kuambiwa changanya na zako.

Kama ulichanganya na Bado ukaamini shida sio wao ila wewe kichwa chako ndo kina machicha ya mbege
 
Israel hana jeuri ya kutungua ndege za urusi, na akifanya hivyo ameisha na yeye anajua hilo. Trump hayupo tayari kuingiza dunia kwenye WW3 so Israel akijiingiza mkenge atamuacha hewani..
 
Aliyeniamisha eti Iran ni A strong military country to exceed the USA.......?

Mtaniambia nini Mashekhe zangu leo, Kanchi kadoogo kaliko kwenye mfurulizo wa vita sasa karibu mwaka, kanamsurubisha Iran?
Vita ipi? Dhidi ya vikundi tu hapo hajapigana na jeshi la nchi yoyote zaidi ya Iran tu tena kwa msaada wa USA ila battle ground hawezi ingiza mguu Iran na kushinda vita. Ataishia kurusha ndege na kulipua tu ila ground forces hazina uwezo wa kupambana na Iran.
 
Kuunga mkono inawezekana ni kutuma Juice na Glucose
 
Si
Juu ni kwanini waislamu hudanganywa kiwepesi sana. Putin na Netanyahu ni umoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…