Kaombwa msaadaHadi huku putin unataka kutia mkono
Russia anaweza pigana vita zaid ya mojaAje tu anasubiliwa aaibishwe, kule ukraine kiporo chake hakijaisha
Wewe kweli akili imejaa machichaa ya pombeNa yeye alitafutwa sana ajiunge kijinga, sasa siyo Ukrain wala Iran ataambulia
Aliyeniaminisha niione Iran inauwezo, nitamlaani maisha yangu yote,
Yaani Israel iliyo na vita karibu nchi nne zaidi, wakati huo huo Iran anasulubishwa....?
Siwaamini tena Mashekhe zangu, mtaniwia radhi tu
Ndo wameenda kuomba msaada sasaSi ndiyo huyu aliyeiomba Israel iangalie usalama wa wataalam wake 200 walioko Iran na Israel akasema atazingatia Hilo. Tusubiri maana Kama msaada alitakiwa kuutoa Kama mambo hayajaharibika. Na ndiyo yeye alisema Iran walikataa ulinzi wa anga aliyotaka kuuweka
Hatari mkuuVita sio kitu kizuri. Israel amemchokoza Iran. Marekani alikuwa awe mstari wa mbele kuzuia vita
Aliyeniamisha eti Iran ni A strong military country to exceed the USA.......?Wewe kweli akili imejaa machichaa ya pombe
Hivi Kuna Israel bila marekani? Akili Gani hii?
Ajaribu sasa, syria pamemtoa kamasi
Mimi sio kobazi Mimi Rc pure.Aliyeniamisha eti Iran ni A strong military country to exceed the USA.......?
Mtaniambia nini Mashekhe zangu leo, Kanchi kadoogo kaliko kwenye mfurulizo wa vita sasa karibu mwaka, kanamsurubisha Iran?