Putin and Wife divorcing

Putin and Wife divorcing

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,757
Reaction score
9,659
Putin has gone on TV to announce his 30 year marriage is over.
 
Walua hawa wenzetu wa kweli kuliko wanafiki wa hapa tunasikia mkulu na madame ni kama hivyo ndio maana hata ofisini kwake kaweka open mambo ya hao vimada wake hakuna heshima kabisa ni vile tu mama mwenyewe hana confidence, ningekua kwanza mwanamke halafu yeye ningebakia regent nikamuachia ikulu afanya anavyotaka.
 
Kuna thread ilianzishwa hivi majuzi ikidai kuwa Mabaunsa wengi sio riziki.....
 
Back
Top Bottom